mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Maisha ni safari ndefu mwisho wake ni kifo,ahsante kwa elimuWowote Ni wakati Mzuri wa kufurahia maisha
Maisha ni safari ndefu mwisho wake ni kifo,ahsante kwa elimuWowote Ni wakati Mzuri wa kufurahia maisha
Maisha ni safari ndefu mwisho wake ni kifo,ahsante kwa elimu
PayPal somo lililotolewa na Genius hata nami nililipitia kweli Elimu ni Bahari ambayo kila mtu huchota kiasi awezacho na haikaukiElimu Ni bahari haina kikomo.JF Ni moja ya bahari ya Elimu.Leo nimejifunza kuhusu matumizi ya PayPal
PayPal somo lililotolewa na Genius hata nami nililipitia kweli Elimu ni Bahari ambayo kila mtu huchota kiasi awezacho na haikauki
Nitawajulisha kila hatua nitakayopitaHaikauki Tena nimeliazia kazi nikipata habari za matumizi hapa TZ nitawajulisha
Nitawajulisha kila hatua nitakayopita
Nitakayopita Ni njia ya biashara halali
Nini una andika Eminentia lugha hiyo kwetu si ya kiungwanaWangu mwenyewe manati ya nini
Kiungwana si vizuri kumsalimia mkubwa huku umeshika kiuno.Nini una andika Eminentia lugha hiyo kwetu si ya kiungwana
Kiuno ni kiungo muhimu katika mwiliKiungwana si vizuri kumsalimia mkubwa huku umeshika kiuno.
Mwili Ni mmoja Na sisi tulio wengiKiuno ni kiungo muhimu katika mwili
Wengi wape japo hukubaliani nao wasemavyo wanasiasa ni DemokrasiaMwili Ni mmoja Na sisi tulio wengi
Nchi nyingi ni masikini ndiyo maana vibakuli mkononi havitui chini......Demokrasia ni kichocheo cha maendeleo katika nchi.
Chini ya viongozi wababaishaji vibakuli lazima vitembezweNchi nyingi ni masikini ndiyo maana vibakuli mkononi havitui chini......
Vitembezwe kwa kutumia gari za umma na serikali iwe kimya kama vile hawaoni kinachoendelea.....Chini ya viongozi wababaishaji vibakuli lazima vitembezwe
Kinachoendelea hivi sasa naangalia mazishi ya Marehemu Mohamed Ali live kwenye tv bbc & Fox News.Vitembezwe kwa kutumia gari za umma na serikali iwe kimya kama vile hawaoni kinachoendelea.....
Kinachoendelea hivi sasa naangalia mazishi ya Marehemu Mohamed Ali live kwenye tv bbc & Fox News. View attachment 355567
In shaa Allah Mwenyezi Mungu amjalie pepo