Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Dengue ni majanga na masayibu hatari !! yaani mitahani hii ya karne ya 22 ni kufa au kupona.....Zika kweli ni moja ya ugonjwa hatari kwa wajawazito,lakini mbu wanaosambaza hayo maradhi wamefanana na mbu wanaosambaza maradhi mengine huko huko Brazil yanajulikana kama “Dengue"