Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Unaputwa ndio nini? @Zamiluni na Zuleykha na mtebetini Karibuni tufuturu
Tufuturu mapema pale wanapo adhini tu... maana kuna vitu vitatu Waumini tumeusiwa tuharakishe ktk maisha yetu, Mosi inapokuja suala la ndoa muoane haraka bila kuchelewa (vuta ni kuvute).. pili inapo wadia wakati wa kufuturu basi mle futari/chakula bila kusitasita.. na tatu anapo kuja mtu kutaka kujua njia ya haki "Uisilam" basi Mfunguke kiimani na kuMsalimisha kwa shahada... Allah yaalam (mungu ndiyo ajuae Zaidi) !!
Ahsante mpendwa Khalidoun Futari na daku yako iwe ya afya na yenye Baraka....
 
Brazil kumeibuka ugonjwa ndani ya ujauzito wa akina mama kichanga humo kinaumbika na kichwa kidogo kuliko wastan wa umbo...Virusi hiyo huletwa na mbu wa malaria na hujilikana kwa "zika"
Zika kweli ni moja ya ugonjwa hatari kwa wajawazito,lakini mbu wanaosambaza hayo maradhi wamefanana na mbu wanaosambaza maradhi mengine huko huko Brazil yanajulikana kama “Dengue"
 
Back
Top Bottom