Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Uzalendo ni muhimu kwa kila raia na nchi yake hilo neno wasomi hulitamka patriotism

Patriotism Ni neno zuri sana.Karibu dunia nzima wananchi wengi Ni wazalendo wa nchi zao ila hapa Tanzania.Wachache ambao sio wazalendo ndio wanakelele utafikiria Tanzania hakuna wazalendo.
 
Wazalendo/uzalendo unatakiwa ufundishwe kwa wananchi wauelewe la sivyo itakuwa kama ilivyo sasa wenye kuonyesha uzalendo wanajificha
 
Huli?Mtebetini wacha bhana.Onesha uzalendo mwachia apige msosi Tena mihogo Na samaki
Mpaka Raha
Raha mpaka ukaribishwe,unanawa bila karibu ustaarabu wa wapi hata kama ni futari uungwana mpaka ukaribishwe,maandiko yanatufundisha usiende kukaa meza kuu mpaka uitwe!
Karibu Dakuu
Muungwana
 
Muungwana wewe Mtebetini Asante sana nimesha wahi nakutakieni dakuu njema
Njema shukuran sana kwa salam zako, mi wakati nasoma Dodoma 1969 nilikuwa nawashanga sana wenyeji wa mkoa huo ni waastarabu kupita maelezo! Kikubwa walichokuwa wananishangaza ni salaam wanapokutana baada ya mbukwa- mbukwenyi (kama sijakosea) na maneno mengi huishi kuuliza mkukuliachi? Jibu huwa ugali na lilenda (i hope sijakosea pia) basi hizo salamu zina ujumbe mkubwa sana na wakistaarabu hakuna mfano
 
Mfano ni kujaribu kutumia lugha ya wagogo badala ya kwako
 
Back
Top Bottom