aliyotenda ni mengi lakini tatizo ni vigumu kuyakumbuka mazuri yake ilhali wanamkosoa kwa yale alokosea.Duniani kila mbabe ana mbabe wake na hataondoka kiumbe hapa hadi ahesabiwe yote aliyotenda.....
aliyotenda ni mengi lakini tatizo ni vigumu kuyakumbuka mazuri yake ilhali wanamkosoa kwa yale alokosea.Duniani kila mbabe ana mbabe wake na hataondoka kiumbe hapa hadi ahesabiwe yote aliyotenda.....
Msamaha kama binaadamu husamehewa baada ya kukiri kosa ndipo hupewa fursa !!Alokosea juzi, leo kurudia tena kukosea kosa lile lile, vipi huyu mtu anastahili msamaha?
Fursa ya kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu ipo milango wazi mpaka siku umauti utakapo kufika haina kikomoMsamaha kama binaadamu husamehewa baada ya kukiri kosa ndipo hupewa fursa !!
Kikomo cha udhalimu wote huu ni Mungu pekee atakae amuaFursa ya kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu ipo milango wazi mpaka siku umauti utakapo kufika haina kikomo
Kikomo cha mafisadi kimekaribia baada ya mahakama yao kuzinduliwa.....Fursa ya kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu ipo milango wazi mpaka siku umauti utakapo kufika haina kikomo
Amuwa utasifiri na mimi au utabaki kulinda nyumba.....Kikomo cha udhalimu wote huu ni Mungu pekee atakae amua
Kuzinduliwa huko kutakuwa kwa kishindo kikubwaKikomo cha mafisadi kimekaribia baada ya mahakama yao kuzinduliwa.....
Kikubwa cha yote siku ya kuwapokea mabingwa wapya wa kombe la Afrika....Kuzinduliwa huko kutakuw kwa kishindo kikubwa
Daima mbele nyuma mwikoAfrika watu wake wamejenga fikra za kuwa tegemezi daima
Mwiko kwa watu wa pwani kuomba chumvi usiku kwa kutaja chumvi sema naomba munyu.. lakini kwa sasa mila hii haitupiki tena.Daima mbele nyuma mwiko
teeena ukomeMwiko kwa watu wa pwani kuomba chumvi usiku kwa kutaja chumvi sema naomba munyu.. lakini kwa sasa mila hii haitupiki tena.
Ukome ni tusi baya sana japo umenitukana lakini nimejikuta nacheka,hahaha! nimekusamehe piateeena ukome
Pia usijali nduguUkome ni tusi baya sana japo umenitukana lakini nimejikuta nacheka,hahaha! nimekusamehe pia
Ndugu ni yule mtu yeyote unaeshirikiana katika mambo mbalimbali..kwa kulitambua hilo nakushukuru sana ndugu yangu.Pia usijali ndugu
Mbili kamili usiku ndo muda ambao taarifa za habari za siku hurushwa runingani.Yangu mawe kwenye ugomvi.,gusa moja uone mbili
Mto Nile ni moja kati ya mito mikubwa dunianiMbili za vuka mto!