mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Amani kwetu sote tupate na Rehma za Manani kwenye mfungo mwema nami nakupa salam Dua'a tuombeane Mola atukubalie kama ulivyo tujuza kwenye tezi yako mwananaKufeli kwangu mie nispo kupa mkono ndg. mtebetini Salaamu za Mfungo wa Ramadhani nawatakie kheri na Amani....