Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Mbeya ndiyo itakayo ongoza kwa vivutivo vya kitalii maana kuna NEW DISCOVERies vya ajaabu!!!Watalii wanakwenda kutembelea nini Mbeya?
Mbeya ndiyo itakayo ongoza kwa vivutivo vya kitalii maana kuna NEW DISCOVERies vya ajaabu!!!Watalii wanakwenda kutembelea nini Mbeya?
Bado siwezi kukujuza hadi utimize masharti yangu wee raia mwenzangu... 😛!!Ajabu iliyo huko ndio naomba unijuze, siifahamu bado
Kwanza ushanichanganya masuali yako mawili hapo !!Mwenzangu nijuze we raia wa wapi kwanza?
Tanzania na watanzania hatuna hulka ya kuulizana uraia au utamaduni wa kubaguana....Hapo umeuliza kama mimi ni raia mwenzako. Ila siwezi kujibu kwani sijui wewe ni raia wa wapi? Mimi ni wa Tanzania.
Moja mbili tatu ni hatuwa nzuri uanziapo biashara......Kubaguana hatuna waTz, bali wewe ndiye uliyeniuliza kwanza. Turudi juu ya utalii wa Mbeya, naweza kuwa mteja wako siku moja.
Wako wangu na wetu sote tuna karibisha maonyesho ya utalii la "Serengeti,kilimanjaro na Zanzibar" ila hiyo ya vivutivo huko Mbeya ndiyo itauwa Duniani !!!!Biashara ni matangazo, inaelekea hutaki kutujuza vivutio vilivyo Mbeya ili tuwe wateja wako
Duniani kumekywa na mambo mengi sana mabaya sikuhizi kuliko zamaniWako wangu na wetu sote tuna karibisha maonyesho ya utalii la "Serengeti,kilimanjaro na Zanzibar" ila hiyo ya vivutivo huko Mbeya ndiyo itauwa Duniani !!!!
Zamani tulitawaliwa tukanyanyaswa, Sasa tunajitawala na tunajinyanyasa wenyewe.....😀Duniani kumekywa na mambo mengi sana mabaya sikuhizi kuliko zamani
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Wenyewe kwa wenyewe bilakujali sisi sote haki sawa,mana vyote tuvionavyo tumevikuta.Zamani tulitawaliwa tukanyanyaswa, Sasa tunajitawala na tunajinyanyasa wenyewe.....😀
Tumevikuta na tutaviacha kwani siyo vyetu... ila nafsi zetu zinatuaminisha kuwa hii ni haki yetu samahani tena tutaondoka patupu muflisi......Wenyewe kwa wenyewe bilakujali sisi sote haki sawa,mana vyote tuvionavyo tumevikuta.
Muflisi (hali ya kutokua na pesa wala mali)kwa sisi wazazi kusifanye watoto wetu kuitwa vilaza.Tumevikuta na tutaviacha kwani siyo vyetu... ila nafsi zetu zinatuaminisha kuwa hii ni haki yetu samahani tena tutaondoka patupu muflisi......
Vilaza tu !! Unashangaa nini ikiwa tumeitwa maShetani na mwingine akaita serufi za nchi ni hela za madafu !!!!Muflisi (hali ya kutokua na pesa wala mali)kwa sisi wazazi kusifanye watoto wetu kuitwa vilaza.
Madafu tena ya Tuangoma mwembe mikwambeVilaza tu !! Unashangaa nini ikiwa tumeitwa maShetani na mwingine akaita serufi za nchi ni hela za madafu !!!!

Mikwambe kule kuna shule yaka ..tena ipombali anapelekwa mtoto kutoka Tandika au mbagala na anafiki kachoka na kurudi kachoka hali hii ndo inachangia mtoto wa maskini kuendelea kufeli.Madafu tena ya Tuangoma mwembe mikwambe
![]()
![]()
![]()
![]()
Kufeli kwangu mie nispo kupa mkono ndg. mtebetini Salaamu za Mfungo wa Ramadhani nawatakie kheri na Amani....Mikwambe kule kuna shule yaka ..tena ipombali anapelekwa mtoto kutoka Tandika au mbagala na anafiki kachoka na kurudi kachoka hali hii ndo inachangia mtoto wa maskini kuendelea kufeli.