Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Wapi waliyo wakali sana tuna wangoja tupambane nao sisi tupo tayari kwa lolote.....Hivyo ndg zuleykha nahitaji mtu wa kunichora piko je nitampata wapi
Wapi waliyo wakali sana tuna wangoja tupambane nao sisi tupo tayari kwa lolote.....Hivyo ndg zuleykha nahitaji mtu wa kunichora piko je nitampata wapi
Lolote swali waweza uliza cha msingi lisikereWapi waliyo wakali sana tuna wangoja tupambane nao sisi tupo tayari kwa lolote.....
Wapi nini nenda tanga au zenji utapakwa hadi ukinai
Lolote si chochoteWapi waliyo wakali sana tuna wangoja tupambane nao sisi tupo tayari kwa lolote.....
Lolote swali waweza uliza cha msingi lisikere
Usikiwe wewe maana kitambo sjakuoana jamvini
Mengi yanasemwa hapa mi nimeka kimyaJamvini nimerejea, majukumu yalikuwa mengi
Hilo la pole naitikia kwa kusema ahsanteMengi haswaa na pole sana katika hilo
Kimya kingi kina mshindo mkuu , wahenga hawakukoseaMengi yanasemwa hapa mi nimeka kimya
hawakukosea mapenzi ni kikohoziHilo la pole naitikia kwa kusema ahsante
Kimya kingi kina mshindo mkuu , wahenga hawakukosea
Kikohozi kikikubana lazima ukohoe sawa na tumbo la kuharahawakukosea mapenzi ni kikohozi
Kuhara jangwani SAHARA ni uhodari wa msafiri asiyejali.....Kikohozi kikikubana lazima ukohoe sawa na tumbo la kuhara
(Kuhara!!!)Lazima tujaribu kuweka tafsidaKikohozi kikikubana lazima ukohoe sawa na tumbo la kuhara
Tafsida hupunguza utamu wa story(Kuhara!!!)Lazima tujaribu kuweka tafsida
Story tamu huzingatia sana ukali wa manenoTafsida hupunguza utamu wa story
Maneno yasiyo na staha hayafai kutamkwa hadharaniStory tamu huzingatia sana ukali wa maneno
Hadharani hata watoto wadogo hupenda kuchezea..
Wengi wape...Kuchezea fursa kunawaponza wengi...