Hiyo malighafi ya nyanya imekua adimu sana kupatikana.Dangote alifunga kiwanda chake cha nyanya kutokana na uhaba wa malighafi hiyo.
Mwenyewe mimi nina bustani yangu, walaa sipati shida.kupatikana kwake huku niliko ni mpaka uanzishe bustani yako mwenyewe
Langu la moyoni halistahili kunenwa hadharani.Mwenyewe niko hapa nikitoa Wazo Langu
Langu la moyoni halistahili kunenwa hadharani.
Muhammad ndo nani?!Mafichoni kifo kipo pia. RIP Ali, Muhammad
Muhammad ndo nani?!
Nayo mameno ya siku hizi ni balaa kwa mfano kila kitu ni kitu cha mwendo kasi, chips zege, chura wa snura, sanamu ya diamond, n.knani ni ngumu kuanza nayo
N.k ni kifupi cha nakadhalika kama sikosei.
Usa inaongoza kwa kutajwa mara nyingi kwenye hii threadSikosei chagabebe Mohamed Ali alikuwa maarufu duniani bondia wa masumbwi Au ngumi Vilevile alikuwa mpigania wa haki za binaadam duniani Khaswaa huko USA
Usa inaongoza kwa kutajwa mara nyingi kwenye hii thread
USA....unamaanisha Mahamed Ali amefarikiSikosei chagabebe Mohamed Ali alikuwa maarufu duniani bondia wa masumbwi Au ngumi Vilevile alikuwa mpigania wa haki za binaadam duniani Khaswaa huko USA
Mengine yanazidisha mawazo badala ya kuburudishaThread Au Uzi huu unaongoza Kwa burudani kulinganisha Na najukwaa mengine
USA....unamaanisha Mahamed Ali amefariki
Mengine yanazidisha mawazo badala ya kuburudisha
Mengine yanazidisha mawazo badala ya kuburudisha