Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 404
Demu tu?!!Wanasusiana kisa demu
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Demu tu?!!Wanasusiana kisa demu
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Mbaya kivipi ?Hakuna mbaya ila tabia tu ndo zinachefuaDemu wako mwenyewe mbaya
Zinachefua nilipozionja zimeozaMbaya kivipi ?Hakuna mbaya ila tabia tu ndo zinachefua
Nikazifukia shambani karibu ya mkoroshoZimeoza ndio maana nkazifukia
Mkorosho huu hauna mabibo yakutoshaNikazifukia shambani karibu ya mkorosho
Yakutosha kwa ajili ya kugema ulanzi au togwaMkorosho huu hauna mabibo yakutosha
Togwa ni moja ya pombe za kienyejiYakutosha kwa ajili ya kugema ulanzi au togwa
Kienyeji vipi Chaggabeibe don't let me down! Togwa huku kwetu pwani si pombeTogwa ni moja ya pombe za kienyeji
Pombe rais wetu!!?Kienyeji vipi Chaggabeibe don't let me down! Togwa huku kwetu pwani si pombe
au pombe bia!?Pwani si pombe kwa kuwa wakazi wanatumia madafu na kahawa wakisindikiza kwa kashata za Nazi !!!!Kienyeji vipi Chaggabeibe don't let me down! Togwa huku kwetu pwani si pombe
Nazi za wapi kisiju,Mafia,kilwa, Lindi au kisarawe?Pwani si pombe kwa kuwa wakazi wanatumia madafu na kahawa wakisindikiza kwa kashata za Nazi !!!!
Kisarawe kwa bibi mzaa mama tukimtebelea anafarajika kweli na kutandikia mkeka.....Nazi za wapi kisiju,Mafia,kilwa, Lindi au kisarawe?
Mkeka unatandikiwa wapi Pugu,Kisarawe,kazimzumbwi,Kisanga,Sungwi,kibwegere,Masaki,kibesa,kauzeni,kibuta,Masanganya,Mengwa,Msegamo au Mwanarumango?Kisarawe kwa bibi mzaa mama tukimtebelea anafarajika kweli na kutandikia mkeka.....
Mkeka unatandikiwa wapi Pugu,Kisarawe,kazimzumbwi,Kisanga,Sungwi,kibwegere,Masaki,kibesa,kibuta,Masanganya,Mengwa,Msegamo au Mwanarumango?
Embe haswa tena umeokota Dodo na kama mganga basi toboatobo kama mtabiri ni mnajim marehemu sheikh Yahya Hussein, Mtebeti ni aina ya MTI wendengestan huita MbebetiMwanarumango?Mtebetini hili jina la mji Au kijiji
Naona maana yake mtoto wa embe?
Embe haswa tena umeokota Dodo na kama mganga basi toboatobo kama mtabiri ni mnajim marehemu sheikh Yahya Hussein, Mtebeti ni aina ya MTI wendengestan huita Mbebeti
![]()
Imejaa tele kama pishi ya mcheleMbebeti kule Rufiji kwa ndugu yangu Kipozeo imejaa.
Imejaa tele kama pishi ya mchele
Ntwara kumepiga hatua kaenea kote DangoteMchele Au mpunga nimeyaiona mashamba mengi ya mpuga Kwa wadengestan Na Ntwara