Hayo mabasi ni ya kisasa na yanahitaji kutunzwa kama yai !! Sasa waBongo tujirekebishe katika matumizi....Wako wengi ambao hawayajui mabasi hayo
Matumizi kwani yapo ya aina ngapi?Hayo mabasi ni ya kisasa na yanahitaji kutunzwa kama yai !! Sasa waBongo tujirekebishe katika matumizi....
Kuuliza sawa ndiyo alama yake, lakini neno la mwisho unalotakiwa kuanza nalo ni 'ngapi'? ni alama ya kuuliza!
Ngapi vipi kwani umesahau ulivyo ambiwa kuwa ni themaniniKuuliza sawa ndiyo alama yake, lakini neno la mwisho unalotakiwa kuanza nalo ni 'ngapi'
Themanini?!!! Kwa nini?Ngapi vipi kwani umesahau ulivyo ambiwa kuwa ni themanini
Kasi ya internet ya Voda Ni ndogo Sana ukilinganisha na Zingine kama Tigo na HaltelKwa nini uligonga mwendo kasi.
Halotel ni mtandao wa wathailandK
Kasi ya internet ya Voda Ni ndogo Sana ukilinganisha na Zingine kama Tigo na Haltel
Halotel ni mtandao wa wathailand
Chura wa snura au chura wa kihansiWathailand kama sikosei wanakula chura
Kihansi chura kapelekwa USA kurudi chura wote kushneiChura wa snura au chura wa kihansi
Kushnei si baada chura kuanza kutapika usaKihansi chura kapelekwa USA kurudi chura wote kushnei
![]()
Usa taifa linaloshindana na ulimwengu kwa ubabeKushnei si baada chura kuanza kutapika usa
Ubabe hata john cena anaoUsa taifa linaloshindana na ulimwengu kwa ubabe
Demu wako mwenyewe mbayaWanasusiana kisa demu
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums