Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Tupo katika kujenga Tanzania ya viwanda na taifa jipya litakaloweza tumia rasilimali zake.....kunufaika watanufaika wengine, wewe utakusikia tu.
Tupo katika kujenga Tanzania ya viwanda na taifa jipya litakaloweza tumia rasilimali zake.....kunufaika watanufaika wengine, wewe utakusikia tu.
Mbali kwako na kwangu karibu hivyo tafadhali wote mnakaribishwa jioni ya leo....Tu, tu, tu ni milio ya kawaida inayopatkana somalia, congo, sudan, na mashariki ya mbali
Leo siji huko ng'o.Mbali kwako na kwangu karibu hivyo tafadhali wote mnakaribishwa jioni ya leo....
Ng'ombe aliye nona na mwenye mvuto hugombaniwa pale mnadani........!!!Leo siji huko ng'o.
Ng'o ni neno ni linalosikika sana kwa mabinti wanaochipukiaLeo siji huko ng'o.
Mnadani pugu au vingunguti!?Ng'ombe aliye nona na mwenye mvuto hugombaniwa pale mnadani........!!!
wanaochipukia.. haa haaa du!Ng'o ni neno ni linalosikika sana kwa mabinti wanaochipukia
Duuh! bongo kumekuwa kusafi ghaflawanaochipukia.. haa haaa du!
Ghafla bin vuu wakaingie wapiga picha na camera zao lile kundi la OFM likanza pirikapirika...Duuh! bongo kumekuwa kusafi ghafla
Ghafla bin vuu wakaingie wapiga picha na camera zao lile kundi la OFM likanza pirikapirika...
Mmepotezea rukhsa ya kilimo cha kufa au kupona enzi za Mzee Rukhsa...!!Pirikapirika za kusafisha Nchi kila mwisho wa mwezi zinaendelea huko ulipo au mmepotezea?
Mmepotezea rukhsa ya kilimo cha kufa au kupona enzi za Mzee Rukhsa...!!
Sana sana ni zile ahadi na matamshi ya kisiasa tu... bidhaa na mazao mengi ni imported !!!Rukhsa ya kilimo ingekuja na uboreshaji wa viwanda vya zana za kilimo na ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani iingependeza sana
Sana sana ni zile ahadi na matamshi ya kisiasa tu... bidhaa na mazao mengi ni imported !!!
Ughaibuni kwenyewe siku hizi mmm!Imported Goods ndizo ambazo zinadumaza uwezo wetu wa kutengeneza bidhaa kama hizo na kuziuza ughaibuni
Ughaibuni kama nchi ya China ni tumbo zege kila bidhaa inanunulika hata miguu ya kuku !!Imported Goods ndizo ambazo zinadumaza uwezo wetu wa kutengeneza bidhaa kama hizo na kuziuza ughaibuni
Kuku wa kienyeji ni watamu kuliko wa kisasaUghaibuni kama nchi ya China ni tumbo zege kila bidhaa inanunulika hata miguu ya kuku !!
Kisasa huwezi kulima kwa jembe la mkono zaidi ya heka hamsiniKuku wa kienyeji ni watamu kuliko wa kisasa
Hamsini ya bongo aina thamani siku hizi kama zamaniKisasa huwezi kulima kwa jembe la mkono zaidi ya heka hamsini
Zamani ukitoa noti shilingi hamsini unaona una hela nyingiHamsini ya bongo aina thamani siku hizi kama zamani