mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Kiushairi bado nipo njia panda lakini sio ya segerea
Segerea Ni gereza la waliofanya makosa ya jinia bila wanasheria wao kuwashauri
Kiushairi bado nipo njia panda lakini sio ya segerea
Kiushairi ndo nini tena Faiza mimi sielewi embu nielekeze
Kuwashauri siyo tatizo kuukubali ushauri ni kichagizoSegerea Ni gereza la waliofanya makosa ya jinia bila wanasheria wao kuwashauri
Kichagizo ni neno linalopatkana kwenye lugha ya kiswahiliKuwashauri siyo tatizo kuukubali ushauri ni kichagizo
Kiswahili lugha adhimu na haswa wakiongea wana wa mrimaKichagizo ni neno linalopatkana kwenye lugha ya kiswahili
Mrima sijuh ni nini umeniacha sudan kusiniKiswahili lugha adhimu na haswa wakiongea wana wa mrima
Kusini vipi tena gbefa! Mi nilidhani nimekupeleka mwambao wa pwani ambapo ndiyo kwenye wenyeji wa MrimaMrima sijuh ni nini umeniacha sudan kusini
Mrima ni tatzo labda nirudi shuleKusini vipi tena gbefa! Mi nilidhani nimekupeleka mwambao wa pwani ambapo ndiyo kwenye wenyeji wa Mrima
Course itamuwia shida kwa mtu mzima na maisha haya ngoja nikumegee kipande cha karatasi ili Mkuu gbefa apate elimuShule urudi kivipi nenda swahili course

Ahsante mkuu nimekuelewaCourse itamuwia shida kwa mtu mzima na maisha haya ngoja nikumegee kipande cha karatasi ili Mkuu gbefa apate elimu
View attachment 352845
Elimu ni ufunguo wa maisha usio na kufuriCourse itamuwia shida kwa mtu mzima na maisha haya ngoja nikumegee kipande cha karatasi ili Mkuu gbefa apate elimu
View attachment 352845
Nimekuelewa kumbe mwenzangu si mwenyeji wa Mrima inawezekana Jamaa yake Mgogoone wa pale makao makuuAhsante mkuu nimekuelewa
Makuu ya watanzania kurahisha mamboNimekuelewa kumbe mwenzangu si mwenyeji wa Mrima inawezekana Jamaa yake Mgogoone wa pale makao makuu
Kiushairi bado nipo njia panda lakini sio ya segerea
Mambo ya localizer umeyaonaMakuu ya watanzania kurahisha mambo
Umeyaona mauno ya chura😎Mambo ya localizer umeyaona
Chura kawa tishio mjini mi nilikuwa nadhani chura yupo kijijini tena kisimaniUmeyaona mauno ya chura😎
Chura kawa tishio mjini mi nilikuwa nadhani chura yupo kijijini tena kisimani
View attachment 352858
Kiswahili lugha adhimu na haswa wakiongea wana wa mrima