Hatari kwa Kiarabu inaandikwaje?Pili pili iko shamba yakuwashiani?
Pili pili za chupa ni hatari
Hatari kwa Kiarabu inaandikwaje?Pili pili iko shamba yakuwashiani?
Pili pili za chupa ni hatari
Inaandikwaje?!! Kwani tunajifunza kiarabu hapa? We bwana namna gani?Hatari kwa Kiarabu inaandikwaje?
Gani ni neno linalotumiwa na wahuni kumaanisha gun.Inaandikwaje?!! Kwani tunajifunza kiarabu hapa? We bwana namna gani?
Gun jina lake la kihuni ni gani!! Aisée!!Gani ni neno linalotumiwa na wahuni kumaanisha gun.
Aisee! Mtaani hakuna ajira.G
Gun jina lake la kihuni ni gani!! Aisée!!
Aisee!! Jamvi limeingia luba kizaza siku mbili hizi burudaniG
Gun jina lake la kihuni ni gani!! Aisée!!
Burudani haswa!Aisee!! Jamvi limeingia luba kizaza siku mbili hizi burudani
Haswa ikizingatiwa tunawasiliana hata kwa sura hatufahamianiBurudani haswa!
Hatufahamiani kwa sababu ya kutumia majina wakilishiHaswa ikizingatiwa tunawasiliana hata kwa sura hatufahamiani
Wakilishi inaashiria kuna utata wa kutumbuliwaHatufahamiani kwa sababu ya kutumia majina wakilishi
Kutumbuliwa lazima jipu liive.Wakilishi inaashiria kuna utata wa kutumbuliwa
Liwive lini? siku hizi hata bichi linawivishwa kwa kupakwa utomvu wa fenesiKutumbuliwa lazima jipu liive.
Fenesi halipatikani koteLiwive lini? siku hizi hata bichi linawivishwa kwa kupakwa utomvu wa fenesi
Kote nani kakudanganya mi nilienda Bukoba of all the place nikayakuta tele kashai sokoniFenesi halipatikani kote
Sokoni nakwenda mara 2 kwa mweziKote nani kakudanganya mi nilienda Bukoba of all the place nikayakuta tele kashai sokoni
Mwezi huu mishahara imewahi kulipwaSokoni nakwenda mara 2 kwa mwezi
Kulipwa mshahara mapema ni kwamba ukanunue sukari kwa bei ya juuMwezi huu mishahara imewahi kulipwa
Juu ya kwenda mwendo wa kawaida safari ya kwenda Dodoma tulifika Mchana kweupeKulipwa mshahara mapema ni kwamba ukanunue sukari kwa bei ya juu
Sokoni mara nyingi huwa kuchafu sanaKote nani kakudanganya mi nilienda Bukoba of all the place nikayakuta tele kashai sokoni
Sana hasa masoko yetu kwa hilo nakuunga mkonoSokoni mara nyingi huwa kuchafu sana
