Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tusichoke kupendana,kusaidiana,kufurahiana Kwa Mafanikio ya wengine.Tujiheshimu tutaheshimika tukijipenda tutapendeka.Tabasamu Ni zawadi ambayo unatoa Na bado haimaliziki.
Haimaliziki kwa kuwa alichokiumba Mwenyeezi Mungu kimejaa katika hazina zake neema haitosimama....
 
Back
Top Bottom