Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kiswahili in wasaa wa maneo kadha.. Boko ni chakula, Boko ni mikwaju, boko myama..hapo umenpata !!Boko neno hili lina tafsiri zipi kwa kiswahili
Kiswahili in wasaa wa maneo kadha.. Boko ni chakula, Boko ni mikwaju, boko myama..hapo umenpata !!Boko neno hili lina tafsiri zipi kwa kiswahili
Kiswahili in wasaa wa maneo kadha.. Boko ni chakula, Boko ni mikwaju, boko myama..hapo umenpata !!
Pamoja tukitembea tutafika safari kwa uhakikaUmenpata wapi ZZ.BOKO Ni Kihausa huko Nigeria maana yake Ni KItabu Au somo.
Wale magaidi wanatafsiri usomi wa inchi za magharibi.Hapa TZ bokoboko Ni mchanganyiko wa nyama ya kusaga Na unga Au mchele Pamoja.
Haupo Barcelona ewe Zuleykha, why ? @Zamiluni sikujua kama moula ni fasaha zaidi ya Mola
Raha ni kwetu wote na hasa kwa mbunifu wa hili jamviMola wetu tusaidie Na majanga ya sio kwisha
Hili jukwaa mpaka Raha.Nilitua Uwanja wa ndege wa Cairo miaka ya nyuma.Kuna sehemu imeandikwa "vyo vyote ulivyo wako maelfu Kama wewe" maana kama wewe msomi wako wengi Kama wewe tapeli wamejaa.
Hapa Jamii forums Ni Raha
Raha inakujia pale unapofanya jambo kwa wakati muafaka
Raha ni kwetu wote na hasa kwa mbunifu wa hili jamvi
Mahitaji ya familia ni mengi kwa kuwa kila mmoja ana haja ya kuenda masomoni.....Jamvi,mkeka,zulia yote yanatumika Kwa mahitaji
Kama vile tulivyo sikiliza hotuba ya Rais tutafuata maelekezo......Mahitaji ya binadamu ni kama...
Maelekezo yaliyonifikia kuwa watazima umeme saa hii, hivo naenda kulala members Alamsiki.....Mahitaji ya familia ni mengi kwa kuwa kila mmoja ana haja ya kuenda masomoni.....
Kama vile tulivyo sikiliza hotuba ya Rais tutafuata maelekezo......
Members wengine nasi tunamfuata Zamiluni Zamiluni, maana ni night kaliAlamsiki ...Binur kwa niaba ya members
Kali kwako na ZZ mi bado ndiyo kwanza napepesa machoMembers wengine nasi tunamfuata Zamiluni Zamiluni, maana ni night kali
Kali kwako na ZZ mi bado ndiyo kwanza napepesa macho
Kucha inategemea kama korokoroniMacho hayawezi kufunguka usiku kucha...
Korokoroni ni neno la zamani sana, wengi hawajui maana yake.Kucha inategemea kama korokoroni