au hakuna kulala leo mpaka asubuhiSana tu nitawakumbuka ndo mmelala au
au inaweza kuwa usiku inategemea unaishi Bara gani hapa DunianiAsubuhi ndio hii Mheshmiwa au
Tena imekuwaje hebu nipasheDuniani kuna mambo Real madrid ndo hivyo tena
Ubingwa ina maana upo kwenye shamrashamra za ushindiLeague.. haswaa wametwaa ubingwa
Chai muda huu saa 8 za usiku!Ushindi wapi wakati ndo ninakunywa chai
Usiku wa wapi huku ni asubuh
Moyoni kuna sononeka kwa kuwa huonekaniAsubuh njema huanza kwa amani na utulivu moyoni.
Huonekani ewe wangu wa ubani.Moyoni kuna sononeka kwa kuwa huonekani
Ubani na udi hutoa harufu nzuuuuri unapofukizwa kwa kutumia kitezo !!!!Huonekani ewe wangu wa ubani.
Kitezo ni chombo maalum kwa kufukiza udiUbani na udi hutoa harufu nzuuuuri unapofukizwa kwa kutumia kitezo !!!!
Udi wa Dubai ndo unaonunulika kwa bei ya juu....Kitezo ni chombo maalum kwa kufukiza udi
Juu ya nini uwe na bei mbaya.Udi wa Dubai ndo unaonunulika kwa bei ya juu....
Mbaya yake haraufu ya hal udi yaipotei hata mwezi mzima...Juu ya nini uwe na bei mbaya.