Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Yake maana ni moja tu.Korokoroni ni neno la zamani sana, wengi hawajui maana yake.
Yake maana ni moja tu.Korokoroni ni neno la zamani sana, wengi hawajui maana yake.
Moja tu inanitosha mie sina tamaa acha wengine nao wapate.....Yake maana ni moja tu.
Wapate woote Biriani la shughuli yangu ndipo roho itatuliaMoja tu inanitosha mie sina tamaa acha wengine nao wapate.....
itatulia ufuska na ulevi na baada ya siku kadhaa maana mfungo wa Ramadhani umewadia...Wapate woote Biriani la shughuli yangu ndipo roho itatulia
Umewadia nasi muda wetu mwingi tutautumia kusoma qur'an na kumdhikiria Allah na kumuomba magh'fira.itatulia ufuska na ulevi na baada ya siku kadhaa maana mfungo wa Ramadhani umewadia...
Kweli ni furaha kwetu wauminiUmewadia muda wa kutubu kwa kweli
itatulia ufuska na ulevi na baada ya siku kadhaa maana mfungo wa Ramadhani umewadia...
Magh'firrah pekee haitoshi tuzidishe matendo mema na kudumisha amani.....Umewadia nasi muda wetu mwingi tutautumia kusoma qur'an na kumdhikiria Allah na kumuomba magh'fira.
Apokee dua'a zenye nia njema na atuepushe na mfarakano.....Umewadia mfungo, waja wapate tubia
Bila fimbo wala gongo, mitaa yote tulia
Haihitaji usongo, Mola apate jalia
Tumuombe maanani, Dua zetu apokee
Kudumisha amani na pia kumwomba yeye kwani kwa nguvu zetu hatutofuzuMagh'firrah pekee haitoshi tuzidishe matendo mema na kudumisha amani.....
Hatuta fuzu iwapo tutakuwa na chembe cha bughudha kati yetu, Moula hutazama nyoyo na siyo sura au muonekano....Kudumisha amani na pia kumwomba yeye kwani kwa nguvu zetu hatutofuzu
Yasiwepo mazombiUsikike ila makosa ya maneno kwenye kuchapisha yasiwepo
Mazombi yote yatadhibitiwa vilivyo.....Yasiwepo mazombi
Yasiwepo mazombi
Mazombi yote yatadhibitiwa vilivyo.....
Duniani kuna mtabaka ya aina nyingiMazombi yako kwenye fikra nyingi za watu walionewa duniani
Duniani kuna mtabaka ya aina nyingi
Aina zote zinazojulikana na ziszojulikana lakini kila ukitembea unavumbua maajabu !!!Nyingi Ni makabila Na lugha za kila aina