amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Mzima wa afyaMbaya yake haraufu ya hal udi yaipotei hata mwezi mzima...
Mzima wa afyaMbaya yake haraufu ya hal udi yaipotei hata mwezi mzima...
Afya ni utajiri mkubwa kwa mwanaadamu, ila watu wengi hatuuthamini utajiri huo mpaka utakapotoweka !!!Mzima wa afya
Mzima wa afya
Bora umekuja ndg. Khalid iweje huko nyuma hukunielewa nilivyoandika Moula (na si Mola)!? nimetumia kiswahili fasaha....Afya bora hujengwa na chakula bora
Kutamka/kuandika neno ipasavyo au kama linavyotakiwa kutamkwa au kuandikwaFasaha ndio nini?
Nini uulize usijibiwe JF ?!? hapa ni kama bahari kuu ukitakacho utapata tafsiri na fasaha !!!Fasaha ndio nini?
Kweli sikuamini kama sukari imeadimika hadi nilipo nunua kilo moja kwa shiling 4,500/- pale dukani...Kuandikwa kila siku kwenye magazeti ni jambo la kawaida kweli
Manake neno geni kwangu zuleykha naomba ulifafanueDukani ?Bora yenu kama mnaipata hata dukani manake
Ulifafanue upataji wa sukari kwa bei elekezi au bei ya ujanja......Manake neno geni kwangu zuleykha naomba ulifafanue
Ulifafanue ,ufafanuzi ni huu-Manake---Maana yake.Manake neno geni kwangu zuleykha naomba ulifafanue
Maana yake, ina maana nyingi ni bora uweke wazi hiyo maana.....Ulifafanue ,ufafanuzi ni huu-Manake---Maana yake.
Maana kuelezana kuna kufundishanaMaana yake, ina maana nyingi ni bora uweke wazi hiyo maana.....
Kufundishana kiswahil fasahaMaana kuelezana kuna kufundishana
Fasaha ya lugha unaipata pale unaposikia taarifa ya habari.....Kufundishana kiswahil fasaha
Habari za kwenye tv hazinogi bila kuona tukio linalozungumzwa likirushwa moja kwa mojaFasaha ya lugha unaipata pale unaposikia taarifa ya habari.....
Moja kwa moja hewani zaidi utaona taharukizi za vita kati ya ISIS na BOKO....Habari za kwenye tv hazinogi bila kuona tukio linalozungumzwa likirushwa moja kwa moja
Boko neno hili lina tafsiri zipi kwa kiswahiliMoja kwa moja hewani zaidi utaona taharukizi za vita kati ya ISIS na BOKO....