Tena usirudi kabisa maana gharama unazonibebesha za kuchorachora hiyo mikono yako Kama avatar yako inavyoonesha zimenishinda!Nimekimbia kwako nasirudi tena
Zimenishinda gharama za iPhone 6Tena usirudi kabisa maana gharama unazonibebesha za kuchorachora hiyo mikono yako Kama avatar yako inavyoonesha zimenishinda!
Hivi iPhone 6 haina fekiZimenishinda gharama za iPhone 6
Feki kwa iPhone sahauHivi iPhone 6 haina feki
Sahau Kambi Ni moja ya magolikipa ninao wa-miss SanaFeki kwa iPhone sahau
Sana ni jina la rafiki yangu mmoja anaipenda sana real madridSahau Kambi Ni moja ya magolikipa ninao wa-miss Sana
Real Madrid inacheza Na atletico Madrid fainali ya UEFASana ni jina la rafiki yangu mmoja anaipenda sana real madrid
UEFA ni shirilisho la soka barana ulayaReal Madrid inacheza Na atletico Madrid fainali ya UEFA
UEFA ni shirilisho la soka barani ulayaReal Madrid inacheza Na atletico Madrid fainali ya UEFA
UEFA ni shirilisho la soka barani ulaya
Lelemama basi tena sasa ivi ni kujituma mwanzo mwishoUlaya kuzuri ila maisha yake si lelemama...
Mwisho wa yote ni furahaLelemama basi tena sasa ivi ni kujituma mwanzo mwisho
Furaha ikiwa turned off huingia huzuniMwisho wa yote ni furaha
Huzuni huondoka kwa mtu kumcha munguFuraha ikiwa turned off huingia huzuni
Ati ndio lugha gani unayo ongeaHusuni sio nsuri ati
Usikike ila makosa ya maneno kwenye kuchapisha yasiwepoOngea kwa nguvu usikike
Yasiwepo tu, nchi yenyewe inakera sanaUsikike ila makosa ya maneno kwenye kuchapisha yasiwepo