ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Katuni tuliangalia sisi enzi zetu tom na jerry CTN
CTN ni cartoon network...
Katuni tuliangalia sisi enzi zetu tom na jerry CTN
Sawa sawa !! Maalim seif alisikika akiwaambia wafuasi wa CUFnetwork ya mtandO upi iko sawa
Chake changu, changu changu.CUF ?Kirefu chake?
Changu sio chako wala chake
Tanzanian deprived of basic human needs kama vile chakula boraChakechake ni moja ya dominion za United republic of Tanzanian
Bora mwisho wa dunia ufike tu, the world is not fair.Tanzanian deprived of basic human needs kama vile chakula bora
Fair play ni muhimu katika michezoBora mwisho wa dunia ufike tu, the world is not fair.
Fair enough to me, bora mwisho ufike tukahukumiweBora mwisho wa dunia ufike tu, the world is not fair.
Weekend ni mapumziko na kuangalia footballMchezo gani unapenda kucheza ukiwa weekend
Tukahukumiwe.Mh inaumiza akiliFair enough to me, bora mwisho ufike tukahukumiwe
Akili zetu sasa tuzitulize katika kufanya aamal njemaTukahukumiwe.Mh inaumiza akili
Kutabasum ni moja ya njema tabia.Njema habar zilimfikia punde hakusita kutabasum
Kutabasum ndio nini?Njema habar zilimfikia punde hakusita kutabasum
Nini maana ya kukimbia wakati chakula ulipikiwa weweKutabasum ndio nini?
Wewe unanipikia chakula kibichi ndio maana nimekimbiaNini maana ya kukimbia wakati chakula ulipikiwa wewe