ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Hilo chapa la damu lilotundikwa hapo lilikuwa la mwisho kunifikia....namshukuru moula!!
Moula ndio Mola au jina la mtu?
Hilo chapa la damu lilotundikwa hapo lilikuwa la mwisho kunifikia....namshukuru moula!!
Mtu huyo Zamiluni ametohoa mpaka neno mola kuwa moula, bahati njema ameelewekaMoula ndio Mola au jina la mtu?
Hilo nalo neno kwakweli....... muadham utaniwia radhi kwa hilo
Ameeleweka aliyeshauri tuwahi kuamkaMtu huyo Zamiluni ametohoa mpaka neno mola kuwa moula, bahati njema ameeleweka
Apende nikipendacho ili nimpende kwa dhatiKuamka ni hadi mungu apende
Dhati kubwa ya moyo wangu nikuishi naye mileleApende nikipendacho ili nimpende kwa dhati
Milele na milele utakuwa nae mpk kifo kitapowatenganishaDhati kubwa ya moyo wangu nikuishi naye milele
Kitakapowatenganisha ndiyo utakua mwisho wa ushirikianoMilele na milele utakuwa nae mpk kifo kitapowatenganisha
Ushirikiano tulionao kwenye huu uzi uendelee mpaka mwisho wa dahali....Kitakapowatenganisha ndiyo utakua mwisho wa ushirikiano
Yako akili uitulize na ufikirie kwa yakinikila kitu ni kutokan na unavyotumia akili yako
Dahali na dahali uzi huu utabaki kuwa maridhawa...Ushirikiano tulionao kwenye huu uzi uendelee mpaka mwisho wa dahali....
Maridhawa kuliko thread zote za JfDahali na dahali uzi huu utabaki kuwa maridhawa...
Jf ni home of great thinkersMaridhawa kuliko thread zote za Jf
Thinkers Tank wapo wengiJf ni home of great thinkers
Wengi wape...Thinkers Tank wapo wengi
Wape watoto wa digitali stahili yao ya kuangalia katuniWengi wape...
Katuni tuliangalia sisi enzi zetu tom na jerry CTNWape watoto wa digitali stahili yao ya kuangalia katuni