mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
warembo wanawachanganya sana wanaume
Wanaume washoka Ni wale wanao wajali familia zao bila kutatarika
warembo wanawachanganya sana wanaume
Wanaume washoka Ni wale wanao wajali familia zao bila kutatarika
mambo poaKutatarika na kupaparika kunaharibu mambo
Poa poa Mkuumambo poa
mkuu we ni nomaPoa poa Mkuu
Kazini leo kunaniniHatari ni pale utakapoamua kulala na kutokwenda kazini
Kunanini mbona kimya kimetawalaKazini leo kunanini
Kimetawala kimya kwa kuwa kuna mshindo mkuu unakujaKunanini mbona kimya kimetawala
Mshindi atadumu kwa sekunde au dakika kadhaa.Unakuja wa mimi kuwa mshindi.
Mshindi atadumu kwa sekunde au dakika kadhaa.
Sawia na yale aliyoyanena yamewafanya wawe na amaniKadhaa wa kadha katika ile kadhia kadhi alitoa hukmu sawia
Amani tuliyokuwa na humu ndani kwetu ni farajaSawia na yale aliyoyanena yamewafanya wawe na amani
Kitambo nimekungojea sana capacityFaraja alikuwaga demu wangu kitambo
Faraja nzuri ya Farhia ni fursa kwa faudhia kupata yake furahaAmani tuliyokuwa na humu ndani kwetu ni faraja
Furaha ikutawale moyoni mwako wala usigombane na ndugu zakoFaraja nzuri ya Farhia ni fursa kwa faudhia kupata yake furaha
Zako na zangu tukizichanga lazima tutoke tuFuraha ikutawale moyoni mwako wala usigombane na ndugu zako
Tu kiivisha hata kama wamekimbiaZako na zangu tukizichanga lazima tutoke tu