Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Wamekimbia kina @Zamiluni Au kwa kuwa leo ni Free dayTu kiivisha hata kama wamekimbia
Wamekimbia kina @Zamiluni Au kwa kuwa leo ni Free dayTu kiivisha hata kama wamekimbia
Wapi nilipokuwepo ? Nilikuwa job kama kawaidaDay ya leo ulikuwa Wapi
Kawaida wakati huu ndio kunakuchaWapi nilipokuwepo ? Nilikuwa job kama kawaida
Kunakucha huko ulipo wakt sie kumeshakuchwa na it's getting sleepy over hereKawaida wakati huu ndio kunakucha
Here we are about to gonna get breakfastKunakucha huko ulipo wakt sie kumeshakuchwa na it's getting sleepy over here
Breakfast njema si tushaanza ku fast mpk asubuhi ndo tuta breakHere we are about to gonna get breakfast
Job kuwahi ndo mpango mzima, pande zipi za dunia ulipo?Break ya kwanza leo ni kuwahi job
Ulipo Mji wa Mh.Uhuru Kenyata.Wapi ulipoishiJob kuwahi ndo mpango mzima, pande zipi za dunia ulipo?
mikia ndio siku hizi churawanachanganyikiwa zaidi na mikia
Break uliyokuja nayo ..Breakfast njema si tushaanza ku fast mpk asubuhi ndo tuta break
Uliyokuja nayo siyo utakayoondoka nayoBreak uliyokuja nayo ..
Nayo hali hukumjuliaUliyokuja nayo siyo utakayoondoka nayo
Hukumjulia hali hakuwepo nyumbaniNayo hali hukumjulia
Hukumjulia hali swahiba wako ZZ yupo maututi......Nayo hali hukumjulia
Free day Friday kweli Khalidoun kwetu ndo weekend ila subiri nitawajoin baada ya swala....Wamekimbia kina @Zamiluni Au kwa kuwa leo ni Free day
Nyumbani tuna wageni tafadhali njoo tuwalaki na kuwakirimu pamoja.....Hukumjulia hali hakuwepo nyumbani
Pamoja tupo wote kila siku usiku na mchana ila sikutambua kama upo mahututi muadham utaniwia radhi kwa hiloNyumbani tuna wageni tafadhali njoo tuwalaki na kuwakirimu pamoja.....
Hilo chapa la damu lilotundikwa hapo lilikuwa la mwisho kunifikia....namshukuru moula!!Pamoja tupo wote kila siku usiku na mchana ila sikutambua kama upo mahututi muadham utaniwia radhi kwa hilo