Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Usoni mwa dunia ndimo tunamoishiMoyoni kitokacho kinadhihiri usoni !!
Usoni mwa dunia ndimo tunamoishiMoyoni kitokacho kinadhihiri usoni !!
Tunamoishi ni juu ya mgongo wa ardhi..., au wewe simwenzetu ?Usoni mwa dunia ndimo tunamoishi
Kazi za maofisi ndiyo chanzo cha magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu !!!Kwanza ufanye kazi
damu muda wote inakuwa imepoaKazi za maofisi ndiyo chanzo cha magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu !!!
Kazi za maofisi ndiyo chanzo cha magonjwa kama kisukari na shinikizo la dam
Imepoa kwasababu.....damu muda wote inakuwa imepoa
...kwasababu unakuwa hufanyi shughuli ya kuchangamsha mwili, ni kutype basiImepoa kwasababu.....
Basi zogo lililotokea ukumbini usiku wa leo ilisababishwa na walevi........kwasababu unakuwa hufanyi shughuli ya kuchangamsha mwili, ni kutype basi
walevi mpo wengi kumbe, mnapenda kubadilisha madaBasi zogo lililotokea ukumbini usiku wa leo ilisababishwa na walevi.....
....walevi sikuzote huonekana hawana heshimaBasi zogo lililotokea ukumbini usiku wa leo ilisababishwa na walevi.....
heshima bongo?....walevi sikuzote huonekana hawana heshima
Bongo ni jina la rais wa jamhuri ya Gabon huko Afrika magharibi.....heshima bongo?
Kazi gani ungependelea kuianzaKwanza ufanye kazi
Bongo ndo niniheshima bongo?
Nini kikusikitishacho katika kichwa cha twigaBongo ndo nini
Niliemuona nilipokuwa shambani dah sitasahauMrefu kuliko wote ndo nyoka niliemuona..