Malengo yako yawe mazuri utabarikiwa haraka....Bidii hufanikisha kufikia malengo...
Haraka nisaidieni hili swaliMalengo yako yawe mazuri utabarikiwa haraka....
Swali gani?Haraka nisaidieni hili swali
Gani hutumika kama kifaa cha kurekebishia baadhi ya vtu mfno simu. Je nikweli..!??Swali gani?
Gani?Aha ,hivi leo ni juma...?Swali gani?
Juma anampenda Zuleykha.Gani?Aha ,hivi leo ni juma...?
Zuze ni mrembo !! ila Evehurt ni Princess wa JF sasa hapo nani ni nani??Juma anampenda Zuleykha.
Nani kakwambia leo mvua inanyeshaZuze ni mrembo !! ila Evehurt ni Princess wa JF sasa hapo nani ni nani??
Inanyesha mvua ya kutakasisha umma huu wenye uchafu wa mauaji mfululizo.....Nani kakwambia leo mvua inanyesha
Mfululizo wa uzi huu ni mrefuInanyesha mvua ya kutakasisha umma huu wenye uchafu wa mauaji mfululizo.....
Mrefu ana hiba mbele ya wahudhuria... na Mfupi ana hadhi ya kuhutubia mkutano....Mfululizo wa uzi huu ni mrefu
Mkutano ule ulikuwa na mashiko kedekedeMrefu ana hiba mbele ya wahudhuria... na Mfupi ana hadhi ya kuhutubia mkutano....
Kedekede "?" Wee ulikuwa nyuma huko mstari wa mwisho ?Mkutano ule ulikuwa na mashiko kedekede
Mwisho wa siku we all gonna die.Kedekede "?" Wee ulikuwa nyuma huko mstari wa mwisho ?
Die for what jamanii... maisha mbona mataamu na uhai una ladha mbili chungu na taamu !!Mwisho wa siku we all gonna die.
Taamu kama huu Mua ninaoutafuna?Die for what jamanii... maisha mbona mataamu na uhai una ladha mbili chungu na taamu !!
Ninaoutafuna ni halali yangu!! sina habari na michepuko.....Taamu kama huu Mua ninaoutafuna?
Michepuko inasaidiaNinaoutafuna ni halali yangu!! sina habari na michepuko.....
Inasaidia kuongeza magonjwa ya zinaa na kusababisha ndoa nyingi kuyumba.....Michepuko inasaidia