amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Sahihi, ugeni wa simatifoni unasumbuaSahii au sahihi?
Sahihi, ugeni wa simatifoni unasumbuaSahii au sahihi?
Unasumbua kwa wengi tu, sio kwako pekee.Sahihi, ugeni wa simatifoni unasumbua
Unasumbua sana wasomi wanapo kuwa wakitangatanga kutafuta ajira....Sahihi, ugeni wa simatifoni unasumbua
Unasumbua wengi sana nami nikiwemoSahihi, ugeni wa simatifoni unasumbua
Pekee wewe ndo ulochaguliwa kutuwakilisha....Unasumbua kwa wengi tu, sio kwako pekee.
Pekee wewe ndo ulochaguliwa kutuwakilisha....
Nikiwemo kwenye listi walipa kodi mashuhuri....Unasumbua wengi sana nami nikiwemo
Kutuwakilisha!? Kwenye nini mbona sina khabari.Pekee wewe ndo ulochaguliwa kutuwakilisha....
Unasumbua sana, inabidi kuwa makini unapoandika nenoSahihi, ugeni wa simatifoni unasumbua
Baadhi yao tu, ila mie na wewe tuta waandalia wageni .....Kutuwakilisha wote au baadhi?
Mashuhuri au al maarufu mpeka nae hakosekani katika hiyo listiNikiwemo kwenye listi walipa kodi mashuhuri....
Khabari iliyotufikia punde kuwa wageni washaingia na mwari wao harusi imeiva....Kutuwakilisha!? Kwenye nini mbona sina khabari.
Listi hii yumo yeye na shemji yake..ndiyo washenga!!!Mashuhuri au al maarufu mpeka nae hakosekani katika hiyo listi
Washenga kesho tunaenda kumchukua mwali wetuListi hii yumo yeye na shemji yake..ndiyo washenga!!!
Washenga kesho tunaenda kumchukua mwali wetu
Anayemuoa kesha lipa mahari....Wetu au wa mume anayemuoa?
Anayemuoa ndio wake, sie wasindikizajiWetu au wa mume anayemuoa?
Anayemuoa ndio wake, sie wasindikizaji
Uhai wa mtu haupaswi kuchezewaWatu ndiyo nchi na watu ndiyo serikali na watu ndiyo uhai......
Oyee.. tutambeba juu kwa juu hadi wakwee zake wamdakeWasindikizaji oyeeeeeee...