Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Kuyumba kwa ndoa hakusababishwi na michepuko.Inasaidia kuongeza magonjwa ya zinaa na kusababisha ndoa nyingi kuyumba.....
Kuyumba kwa ndoa hakusababishwi na michepuko.Inasaidia kuongeza magonjwa ya zinaa na kusababisha ndoa nyingi kuyumba.....
Michepuko 4 mi "no comment"Kuyumba kwa ndoa hakusababishwi na michepuko.
Kuyumba kwa ndoa hakusababishwi na michepuko.
No Comment, hahahaha nimekuwezaMichepuko 4 mi "no comment"
Chura mwingine anaruka kwa madoido.Michepuko mingine ina chura
Nimekuweza sivibaya ..No Comment, hahahaha nimekuweza
Si vibaya siku moja moja unapata changamoto.Nimekuweza sivibaya ..
Changamoto za kikwenu ndo mmesababisha population ya TZ kupaa juu hadi ulingoni 😛😛Si vibaya siku moja moja unapata changamoto.
Ulingoni ni pazuri, unasahau shida zote za kwenu.Changamoto za kikwenu ndo mmesababisha population ya TZ kupaa juu hadi ulingoni 😛😛
Kwenu mnarogana.., kwenu mnasalitiana.., kwenu mnachimbana... sasa mtafikaje ?Ulingoni ni pazuri, unasahau shida zote za kwenu.
Mtafikaje? Teh tushafika na tunakula ugali.Kwenu mnarogana.., kwenu mnasalitiana.., kwenu mnachimbana... sasa mtafikaje ?
Ugali ni lishe bora huko kanda za wenye Rasilimali......Mtafikaje? Teh tushafika na tunakula ugali.
Rasilimali zao ni zipi.Ugali ni lishe bora huko kanda za wenye Rasilimali......
Zipi usizozijua ?Rasilimali zao ni zipi.
Usizozijua wewe naweza mimi kuzijua.Zipi usizozijua ?
Kuzijua mbinu za wanaDubai kumenifanya nirudi MombasaUsizozijua wewe naweza mimi kuzijua.
Kuzijua mbinu za wanaDubai kumenifanya nirudi Mombasa
Raha ina karaha.....Mombasa raha...
Karaha zikizidi hutengeneza weusi moyoniRaha ina karaha.....
Moyoni kitokacho kinadhihiri usoni !!Karaha zikizidi hutengeneza weusi moyoni