Shaman ni rafiki wa wengi hapa mtaani
Mtaani kwenu kuna majumba mazuri yaliyo na gardeni za kuvutia....Shaman ni rafiki wa wengi hapa mtaani
Vituko huanzishwa vijiweni na majoblessmtaani kwetu kuna vituko
Majobless ndio sie, muache kutusema.Vituko huanzishwa vijiweni na majobless
Kutusema sema kila ukicha ndiyo kutawafanya mujitume......Majobless ndio sie, muache kutusema.
Mujitume kwa kufanya kaziKutusema sema kila ukicha ndiyo kutawafanya mujitume......
Kazi: Kwa ufupi,ni njia yoyote ya halali inayomuingizia mtu kipato...Mujitume kwa kufanya kazi
Kipato kinapishana kwa viwangoKazi: Kwa ufupi,ni njia yoyote ya halali inayomuingizia mtu kipato...
Viwango vya wanasoka wa Tz vinashuka kila sikuKipato kinapishana kwa viwango
Viwango vya TBS sivielewi mwenzenu.Kipato kinapishana kwa viwango
Mwenzenu natamani vitwangaViwango vya TBS sivielewi mwenzenu.
Vitwanga sio vizuri kwa afyaMwenzenu natamani vitwanga
Afya inauzwa wapi jamani? Nataka kujitolea nimpeleke aliyelazwa hospitalini....Vitwanga sio vizuri kwa afya
Afya inatakiwa kulindwa Kwa kupata vyakula sahiiVitwanga sio vizuri kwa afya
Afya bora ni moja ya ahadi kuu ya wanasiasa nchiniVitwanga sio vizuri kwa afya
Sahii au sahihi?Afya inatakiwa kulindwa Kwa kupata vyakula sahii
Sahii au sahihi?
Nchin Tanzania napo, mpaka Afya yako mwanasiasa akupangie!Afya bora ni moja ya ahadi kuu ya wanasiasa nchini