Kulala na kupumua tu, ila tambua uhai unapungua....Jioni ikifika anaenda kulala...
Magorofa ya jiji la Dar yanapendeza....Tuliambiwa tukue tuyaone, maisha Sio magorofa
Masoesi ndio kilugha gani we bintiMuhimu kuamka na kufanya masoesi
Usiku mwemeni?kwani we uko uliko ni usiku? kwetu huku ni asubuhiUsiku mwemeni
Asubuhi njema wanajamvi mi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salamaUsiku mwemeni?kwani we uko uliko ni usiku? kwetu huku ni asubuhi
Usiku mwemeni?kwani we uko uliko ni usiku? kwetu huku ni asubuhi
Salaama yako mkuu !! mvua ya jana ilikuwa na raadi nyingi...Asubuhi njema wanajamvi mi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salama
Asubuhi njema wanajamvi mi namshukuru Mwenyezi Mungu kumekucha salama
Kujituma kokote ndiyo mafanikioSalama salmini njiani kwenye mishen town Au Kwa ufasaha kujituma
Salaama yako mkuu !! mvua ya jana ilikuwa na raadi nyingi...
Kujituma kokote ndiyo mafanikio
Raadini zipo za aina tofauti zipo zenye kuuwa na zipo zenye sauti....Nyingi nyingine raadi raadini
Bidii ni moja ya chanzo cha mashindano....Mafanikio hayakwepeki ukiwa mkweli Na kazi Kwa bidii
Tanzania ina vijana wenye vipaji, nawe ni mmoja wapo sasa jitume upate kuibuka !!Sauti ya Diamond inaipeperusha sanaa ya Tanzania