Wapi kaenda uwanja wa siasa unatamba unapokuwa madarakaniSita nae alikua ni muheshimiwa spika wa bunge la Tanzania sijui yuko wapi
Wapi kaenda uwanja wa siasa unatamba unapokuwa madarakani
Wapi wadau wa mchezo huu wameelekeaSita nae alikua ni muheshimiwa spika wa bunge la Tanzania sijui yuko wapi
Wameelekea kuleee kutafuta sukari.Wapi wadau wa mchezo huu wameelekea
sukari ni tamu sana oye ar'e.Wameelekea kuleee kutafuta sukari.
Oya ar'e hapa mkuu umenikwaza naomba tafsiri ya hilo nenosukari ni tamu sana oye ar'e.
Neno moja kwa sukari
Muhimu kuamka na kufanya masoesiSukari ni bidhaa muhimu
Kiswahili kimepoteaMasoesi ni kijaluo au kiswahili
Kwetu kuna mbwa mkaliKimepotea kwa kutothamini vya kwetu
Kwetu kuna mbwa mkali
Mkali kwa kulinda dada zangu wazuri maana vijana huwaga wanajipitishaga mara kwa mara hapa nyumbani kuwatongoza.Mkali kwa kulinda au kula?
amaizing 🙂 huya hapa nimekuletea...ila usilete usumbufu acha achape kazi hadi jioni...Kuwatongoza warembo ni kazi mija amaizing![]()
amaizing 🙂 huya hapa nimekuletea...ila usilete usumbufu acha achape kazi hadi jioni...
Kulala peke yake au na njaa..?Jioni ikifika anaenda kulala...