mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Watu ndiyo nchi na watu ndiyo serikali na watu ndiyo uhai......
Uhai Ni muhimu katikati kila kiumbe
Watu ndiyo nchi na watu ndiyo serikali na watu ndiyo uhai......
Dhuluma ni dhulumati siku ya kiyama, usiombe ukakutwa una dhambi ya dhuluma utaipata!!!Watu makini Ni muhimu kuendelea kupigania haki Na dhuluma
Dhuluma ni dhulumati siku ya kiyama, usiombe ukakutwa una dhambi ya dhuluma utaipata!!!
Duniani kuna mambo ya ajabu na kila kukicha kuna vitukoUtaipata Kama unaitafuta hapa hapa duniani
Duniani kuna mambo ya ajabu na kila kukicha kuna vituko
Haki ya mahakama ni kuhukumu kwa mezani ya haki kumpatia mwenye haki, haki yake...Vituko haviishi mpaka turejee kwenye haki
Haki ya mahakama ni kuhukumu kwa mezani ya haki kumpatia mwenye haki, haki yake...
Upiganie kutafuta sukari kwa bei elekezi Tzs 1800 ni usumbufu....Yake haki haipatikani mpaka upigania.
Usumbufu tunaopata kutafuta sukari madukani ni mkubwa mnooo.. Mpaka tumemkumbuka mzee wa msoga
Musoma ni mji ktk ziwa victoria....Ndefu kama barabara ya Dar - Musoma..
Victoria ziwani, wanapatikana samaki aina nyingi tofauti na maziwa mengine Afrika Mashariki hasa Sato.Musoma ni mji ktk ziwa victoria....
Sato, furu,sogwa,dagaa,mumi,kambare na sangara wanauzwa pale mwaroni MwanzaVictoria ziwani, wanapatikana samaki aina nyingi tofauti na maziwa mengine Afrika Mashariki hasa Sato.
Mwanza ni jiji zuri sana kwa kuishi maana kila kitu kinapatikana kwa urahisi sana hasa michepuko.Sato, furu,sogwa,dagaa,mumi,kambare na sangara wanauzwa pale mwaroni Mwanza
Michepuko sio dili, dili ni njia kuu japo napo kuna foleni.Mwanza ni jiji zuri sana kwa kuishi maana kila kitu kinapatikana kwa urahisi sana hasa michepuko.
Foleni za magari jijini mwanza zimepungua kama siyo kwisha kabisaMichepuko sio dili, dili ni njia kuu japo napo kuna foleni.
Kabisa haitowezekana kumsajili mchezaji mara mbiliFoleni za magari jijini mwanza zimepungua kama siyo kwisha kabisa
Mbili na sita ni ishirini na sitaKabisa haitowezekana kumsajili mchezaji mara mbili