Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
wodini? acha dharau bhana wodi wanakaa wakishajifungua, huko leba ni hatari usikie hivyo hivyoWanakozalishwa wazazi huitwa theater au wodini?

wodini? acha dharau bhana wodi wanakaa wakishajifungua, huko leba ni hatari usikie hivyo hivyoWanakozalishwa wazazi huitwa theater au wodini?

Hivyo hivyo tulivyo tutaendelea kupokea wazazi wengi wodini bila ahuweniwodini? acha dharau bhana wodi wanakaa wakishajifungua, huko leba ni hatari usikie hivyo hivyo![]()
Hivyo kumbe mwajua ni hatari, na bado mwawadharau wanawake.wodini? acha dharau bhana wodi wanakaa wakishajifungua, huko leba ni hatari usikie hivyo hivyo![]()
ahuweni ikipatikana tutashukuruHivyo hivyo tulivyo tutaendelea kupokea wazazi wengi wodini bila ahuweni
Tutashukuru kwa Mwenyeezi Mungu bila masharti.....ahuweni ikipatikana tutashukuru
wanawake mnapenda kuimba nyimbo za mipasho, nashangaa kwanini kushika mic mpaka mlazimishweHivyo kumbe mwajua ni hatari, na bado mwawadharau wanawake.
...masharti kwa mganga hayaepukikiTutashukuru kwa Mwenyeezi Mungu bila masharti.....
Hayaepukiki sakata la waficha sukari kuhojiwa.......masharti kwa mganga hayaepukiki
..kuhojiwa kunapoteza muda, fisadi akikamatwa anyongwe tuHayaepukiki sakata la waficha sukari kuhojiwa....
anyongwe tu bila kuhukumiwa? hiyo haitokuwa haki......kuhojiwa kunapoteza muda, fisadi akikamatwa anyongwe tu
Haki Duniani haipo...anyongwe tu bila kuhukumiwa? hiyo haitokuwa haki....
Haki duniani ipo sema watendaji wasio na dhamira ndiyo wakorofi...Haki Duniani haipo...
Wakorofi kweli maana hata hapa kwenye uzi huu kuna mwanajamvi kani-tag ananiita mi kijana! Mimi umri wangu miaka 56 huyu wa kwanza wa pili kaandika neno halitulitamki hadharani ni tusiHaki duniani ipo sema watendaji wasio na dhamira ndiyo wakorofi...
Tusi halifai katika jamii ya Watanzania wazalendoWakorofi kweli maana hata hapa kwenye uzi huu kuna mwanajamvi kani-tag ananiita mi kijana! Mimi umri wangu miaka 56 huyu wa kwanza wa pili kaandika neno halitulitamki hadharani ni tusi
tusi ?!!? pole sana captain wangu Mtebetini, Your honor msamehe bure...Wakorofi kweli maana hata hapa kwenye uzi huu kuna mwanajamvi kani-tag ananiita mi kijana! Mimi umri wangu miaka 56 huyu wa kwanza wa pili kaandika neno halitulitamki hadharani ni tusi
Wazalendo wapo wengi ispokuwa wamezidiwa maarifa....Tusi halifai katika jamii ya Watanzania wazalendo
Wazalendo wapo wengi ispokuwa wamezidiwa maarifa....
lugha ya kiswahili ni nzuri lakini waswahili hatuipendi .Maarifa gani Tena ZZ ?Mtebetini hataki kuitwa kijana,Everhurt anasema Wanawake hawaheshimiwe .Heshima Kwa wote Kwa hekima ya Lugha
Hatuipendi ?Nani kasemalugha ya kiswahili ni nzuri lakini waswahili hatuipendi .