Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Hatuipendi vipi ndugu?!!? Mie ntajitolea kwafundisha fasaha ya lugha hii hadi wapate bashasha ya kuikumbatia....lugha ya kiswahili ni nzuri lakini waswahili hatuipendi .
Hatuipendi vipi ndugu?!!? Mie ntajitolea kwafundisha fasaha ya lugha hii hadi wapate bashasha ya kuikumbatia....lugha ya kiswahili ni nzuri lakini waswahili hatuipendi .
Kasema wapo shambani hadi jua likitua watarejea maskani......Hatuipendi ?Nani kasema
Hatuipendi kwasababu haitunufaishi.lugha ya kiswahili ni nzuri lakini waswahili hatuipendi .
Maskani leo watu wamekimbia kuko kimyaKasema wapo shambani hadi jua likitua watarejea maskani......
Haitunufaishi kivipi wakati wa nje wanakazana kujifunzaHatuipendi kwasababu haitunufaishi.
Kimya kumetawala mitaa ya buguruni kutokana na FFU kutawanyisha makundi ya waandamanaji....Maskani leo watu wamekimbia kuko kimya
Kujifunza lugha haihitaji chuo wala seminaryHaitunufaishi kivipi wakati wa nje wanakazana kujifunza
Waandamaji mara nyingi hubeba mabangoKimya kumetawala mitaa ya buguruni kutokana na FFU kutawanyisha makundi ya waandamanaji....
Lugha hutumika ktk urasimu Zaidi huko mitaani lahaja ndo hutumikaSeminary hutoa wanafunzi waliobobea katika yale waliyojifunza ikiwamo lugha
Mabango yanayobebwa na wapinzani huashiria ukweli wa jambo !!!Waandamaji mara nyingi hubeba mabango
Madaraka baba yake ndiye Baba wa Taifa la TanzaniaJambo lapaswa kushughulikiwa na wote sio lazima mpaka uwe na madaraka
lugha ya kiabeshi ninaipenda sanaSeminary hutoa wanafunzi waliobobea katika yale waliyojifunza ikiwamo lugha
Madaraka niliyojipa ya kuwa na umri mkubwa miongoni mwenu naomba Mkuu Mkande kama uliteleza kwa kutumia lugha hii naomba uwaombe radhi waungwana wa uzi huu hili neno lina jamvi lake na ikiwezekana ufute post yakowa mwisho na mtomba
Tanzania ina watu majasiri katika kufanya kaziMadaraka baba yake ndiye Baba wa Taifa la Tanzania
Maisha yanakutaka uwe na nidhamu kwa kila unapokwenda hata kama haujulikaniKazi ni wajibu wa kila mwenye uwezo wa kuifanya iki kuendesha maisha
Haujulikani jinsia yako unapotomia user name id yakimangushi....Maisha yanakutaka uwe na nidhamu kwa kila unapokwenda hata kama haujulikani