mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,620
Uvunaji wa Nyanya mwaka Jana ameathiriwa Iringa, Arusha na Morogoro kuna mdudu anaitwa Kantangaze.Madini yapo ktk sehemu zote ardhini, tatizo lake ni gharama za uvunaji.....
Uvunaji wa Nyanya mwaka Jana ameathiriwa Iringa, Arusha na Morogoro kuna mdudu anaitwa Kantangaze.Madini yapo ktk sehemu zote ardhini, tatizo lake ni gharama za uvunaji.....
Uvunaji wa Nyanya mwaka Jana ameathiriwa Iringa, Arusha na Morogoro kuna mdudu anaitwa Kantangaze.
Mjini kina Dada ndio wanasababisha ufisadi- Paul Makonda.Kantangaze ni nen maalum kwa madada Wa mjini
Mjini hasa majiji mfano Dar wanaume wake hawana niniliu za motoKantangaze ni nen maalum kwa madada Wa mjini
Mjini kina Dada ndio wanasababisha ufisadi- Paul Makonda.
Kasi hipi kaka?, ule sio mwendo kasi bali mwendo wa harakaMakonda wote Wa mjini washakosa kazi ktk mwndo kasi
Haraka kwa kuwa hawana foleni zaidi ya kwenye mataa yao ndio husimsma kidogoKasi hipi kaka?, ule sio mwendo kasi bali mwendo wa haraka
Baraka nzuri kutoka kwa wazazi wetu kwa kutulea na kutuelimishaKidogo kidogo ndio mwendo haraka haraka haina baraka
Kutuelimisha tena bila kuchokaBaraka nzuri kutoka kwa wazazi wetu kwa kutulea na kutuelimisha
Kuchoka ingekuwa kutokutimiza jukumu la malezi kwa watotoKutuelimisha tena bila kuchoka
Watoto wanapenda kulala sanaKuchoka ingekuwa kutokutimiza jukumu la malezi kwa watoto
Sana wanalala baada ya kuchoka kutokana na pilikapilikaWatoto wanapenda kulala sana
Pilikapilika za mjini zinatuchosha sana sisi wazeeSana wanalala baada ya kuchoka kutokana na pilikapilika
Nyingine huwa hakuna haja ya kwenda zisijekuleta majangaSafari moja huanzisha nyingine
Majanga yapo ya asili na yaakujitakiaNyingine huwa hakuna haja ya kwenda zisijekuleta majanga
Jazanda? Huo ndiyo ukweli wa hali halisiYaakujitakia imetumika kama nini,istilahi au jazanda?