Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hahahaha pombe tamu ZZ haswa w.endUsaha mtanyeshwa nyie walevi wa pombe siku yyenu itakapo wadia......
(ha ha ha ha)
Hahahaha pombe tamu ZZ haswa w.endUsaha mtanyeshwa nyie walevi wa pombe siku yyenu itakapo wadia......
(ha ha ha ha)
Busara za wazee zamani sio kama sasaTatizo husuluhishwa kwa hekima na busara...
Sasa kizazi hiki kimethibitisha ubora wao kuliko awali......Busara za wazee zamani sio kama sasa
Awali ya yote mgogoone ahsante kwa salamu zako zikufikie popote ulipoSasa kizazi hiki kimethibitisha ubora wao kuliko awali......
Ulipo nistukizia tu nikajipanga vizuri usigundue chochote....Awali ya yote mgogoone ahsante kwa salamu zako zikufikie popote ulipo
Chochote?kwani kulitokea nini mkuu nijuzeni mie ndio naingia saizi humu ndani.Ulipo nistukizia tu nikajipanga vizuri usigundue chochote....
Ndani tunashukuru kwema na toka ulipofanya uungwana wa kumtaka radhi Mzizi wa Mbuyu amani imetawala burudaniChochote?kwani kulitokea nini mkuu nijuzeni mie ndio naingia saizi humu ndani.
Ndani ukiingia bila hodi hutokaribishwa kwa upendo......Chochote?kwani kulitokea nini mkuu nijuzeni mie ndio naingia saizi humu ndani.
Burudani ya weekendi ilichafuliwa na vurugu za mgambo......Ndani tunashukuru kwema na toka ulipofanya uungwana wa kumtaka radhi Mzizi wa Mbuyu amani imetawala burudani
Mgambo wana karaha jamani na kama huamini waulize machinga na mama ntilieBurudani ya weekendi ilichafuliwa na vurugu za mgambo......
Ntilie mchuzi kwangu pakavu.....Mgambo wana karaha jamani na kama huamini waulize machinga na mama ntilie
Singida ni mji uliyozaa kijana bilionea tajiri Mohamed Dewji mchapa kazi.....Ktkt ya nchi ni Dodoma kwa Nadharia tu, kiuhalisia Ktkt ya nchi ni eneo moja lililopo Singida
Kazi za ndani ni shiida na tabu kwa kweliSingida ni mji uliyozaa kijana bilionea tajiri Mohamed Dewji mchapa kazi.....
Kweli angalau umeona hilo wakina mama hupata tabu sanaaaKazi za ndani ni shiida na tabu kwa kweli
Kweli maisha yamekuwa ghali na bei za bidhaa zimepaa juu.....Kazi za ndani ni shiida na tabu kwa kweli
Sana yaani dah hasa ukute mama, baba mwenye nyumba hana ROHO ya kibinadamuKweli angalau umeona hilo wakina mama hupata tabu sanaaa
Juu ya kichwa chako kuna madiniKweli maisha yamekuwa ghali na bei za bidhaa zimepaa juu.....
Madini yapo ktk sehemu zote ardhini, tatizo lake ni gharama za uvunaji.....Juu ya kichwa chako kuna madini
Uvunaji wa bange una gharama sana hasa ukute bange imekubali kuivaMadini yapo ktk sehemu zote ardhini, tatizo lake ni gharama za uvunaji.....