mwenyewe ndio mimi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 347
- 212
Kabisa hata mimi nimeona amani isije toweka ndugu mzizi wa mbuyu nisamehe kama nilikuudhiMunkari ikizidi sio nzuri kabisa
Munkari ikizidi sio nzuri kabisa
Kabisa hata mimi nimeona amani isije toweka ndugu mzizi wa mbuyu nisamehe kama nilikuudhiMunkari ikizidi sio nzuri kabisa
Munkari ikizidi sio nzuri kabisa
Nilikuudhi Mzizi wa Mbuyu muungwana mwenyewe ndiyo mimi kakuomba radhi,kaonyesha ungwana ni tegemeo langu utakuja hapa kumsameheKabisa hata mimi nimeona amani isije toweka ndugu mzizi wa mbuyu nisamehe kama nilikuudhi
Kumsamehe mwenzio tu unaibuka mshindi.... Nimewapendea hapo mlipotambua kuna ihtilafu !!Nilikuudhi Mzizi wa Mbuyu muungwana mwenyewe ndiyo mimi kakuomba radhi,kaonyesha ungwana ni tegemeo langu utakuja hapa kumsamehe
Chao wanakigawanya kwa kila asiye nachoIhtilafu kubwa ilitokea CCM wakt wanatafuta mgombea urais kwa tiketi ya chama chao
Nacho ni chako ringa nacho kama huafikia nao unda chako ili amani izidi kutamalakiChao wanakigawanya kwa kila asiye nacho
Maafa makubwa wote mmekacha tena kukesha
Town leo kuna msako jipange vizuri ukapambaneKukesha siwezi Mtebetini asubuhi Ninapiga misheni town
Usiku wa China raha sanaUkapambane urudi na ugali wa usiku
Usiku wa China raha sana
Nacho ni chako ringa nacho kama huafikia nao unda chako ili amani izidi kutamalaki
Zako hekima zinahitajika kwa kizazi kipyaKutamalaki niliruka mstari baada kusoma mashairi ya Mtebetini.Nimefurahia hekima zako
Kipya kinyemi japo kidondaZako hekima zinahitajika kwa kizazi kipya
Kidonda kisipotibiwa kwa usahihi kinaleta usahaKipya kinyemi japo kidonda
Usaha ukitoka inaashiria kuna tatizoKidonda kisipotibiwa kwa usahihi kinaleta usaha
Usaha mtanyeshwa nyie walevi wa pombe siku yyenu itakapo wadia......Kidonda kisipotibiwa kwa usahihi kinaleta usaha
Tatizo husuluhishwa kwa hekima na busara...Usaha ukitoka inaashiria kuna tatizo
Tatizo la kiongozi nchi hii kila mtu mjuajiUsaha ukitoka inaashiria kuna tatizo
Wadia maana yake siku ikifika,lakini sisi sii waleviUsaha mtanyeshwa nyie walevi wa pombe siku yyenu itakapo wadia......
(ha ha ha ha)