Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Hindi likichomwa vizuri likatiwa na ndimu na pilipili kwa sisi wana darisalamu tunajua utamu wake hasa uwe kituoni mvua imenyesha afu unasubiri daladala ya kutoka post-rang 3 au ubungo/posta- g/mboto afu iwe jioni ndio utamu wake huzidi
utamu wake huzidi pare sukari inapokua adimu!
 
Adimu japo wakuu wa nnchi wanajitahidi tupate sukari wafanya biashara wanabana.
 
Mirambo ilikuwa imara sna Enzi chief Abdalah Fundikira chief mirambo na unyanyembe
 
Back
Top Bottom