mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Mtu ni utu na siyo kitu !!!!
Kitu kizuri Duniani Ni utu ingawa vitu vinaabudiwa sana.
Mtu ni utu na siyo kitu !!!!
Sana sana vitu hivo hudumu mwaka ay miaka kadha na baade huchuja au kukinaika hatimaye mbali hutupika...!!!Kitu kizuri Duniani Ni utu ingawa vitu vinaabudiwa sana.
Sana sana vitu hivo hudumu mwaka ay miaka kadha na baade huchuja au kukinaika hatimaye mbali hutupika...!!!
Thamani Yako italingana na heshima uwapatiayo watu.. (ukiwathamini watakuthamini) hapo upo ukweli?Hutupika Kwa sababu hakina Tena thamani
Thamani ya kitu hukijui hadi kitakapo potea.......!!Hutupika Kwa sababu hakina Tena thamani
Thamani Yako italingana na heshima uwapatiayo watu.. (ukiwathamini watakuthamini) hapo upo ukweli?
Thamani ya kitu hukijui hadi kitakapo potea.......!!
Udhaifu wa Serikali na rais ndiyo uliotufikisha hapa tulipofika.Siku zinasonga na serikali ya jk inazid kuonyesha udhaifu.
Tulipofika ulingoni sipabaya kuliko tungelitumbukia shimoni....Udhaifu wa Serikali na rais ndiyo uliotufikisha hapa tulipofika.
Shimoni hatukutumbukia tuliwahi kustuliwaTulipofika ulingoni sipabaya kuliko tungelitumbukia shimoni....
Kustuliwa usinginizi ni hatari kubwa "kwa sbbu roho huwa nje ya mwili" yaweza tokea mtafaruku !!Shimoni hatukutumbukia tuliwahi kustuliwa
Mtafaruku huo unawexa kukufanya ukimbie pasipo julikanaKustuliwa usinginizi ni hatari kubwa "kwa sbbu roho huwa nje ya mwili" yaweza tokea mtafaruku !!
Julikana kwa tangazo la radio FM !!!Mtafaruku huo unawexa kukufanya ukimbie pasipo julikana
Fm radio nyingi ni masafa mafupiJulikana kwa tangazo la radio FM !!!
Mafupi mkono si ukarimu wa moyo..... (hekima za awali) jifunze kuboresha lugha...Fm radio nyingi ni masafa mafupi
Lugha nzuri itakufanya uishi na watu vemaMafupi mkono si ukarimu wa moyo..... (hekima za awali) jifunze kuboresha lugha...
Vema vilivyotangulia zamani mabakia ya leo ni magumashi.....Lugha nzuri itakufanya uishi na watu vema
Magumashi ya wapi tenaVema vilivyotangulia zamani mabakia ya leo ni magumashi.....
Tena wakirudia kelele zao tutawasimamisha kwa bakora.....Magumashi ya wapi tena
Bakora za kipindi kile shule ya msingi nimechapwa sana kwa kuwawekea wasichana kioo wakiwa wamesimama wima.Yaani nilikuwa naona kila kitu cha ndani maana wengi wao walikuwa hawavaagi chupi.Tena wakirudia kelele zao tutawasimamisha kwa bakora.....