Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Sana sana hao wakubwa hawana jinsi lazima wajikite vijiweni.....Uswazi kuna maisha huru sana...
Sana sana hao wakubwa hawana jinsi lazima wajikite vijiweni.....Uswazi kuna maisha huru sana...
Sana sana hao wakubwa hawana jinsi lazima wajikite vijiweni.....
Mbele kwa mbele huku tunaisoma nambaVijiweni kuna wakubwa kwa wadogo, ilimradi maisha yanasonga mbele...
Mbele ya usingizi hakuna ujanjaVijiweni kuna wakubwa kwa wadogo, ilimradi maisha yanasonga mbele...
Ujanja wa sungura unaishia wapi..??Mbele ya usingizi hakuna ujanja
Wapi?Kwani haumjui adui wa sunguraUjanja wa sungura unaishia wapi..??
Sungura ni mnyama mwenye visa vingi.....Wapi?Kwani haumjui adui wa sungura
Vingi vizuri na vya kusisimuaSungura ni mnyama mwenye visa vingi.....
Kusisimua damu ni kuamka alfajiri na uswali ndipo uanze mazoezi....Vingi vizuri na vya kusisimua
Mazoezi yanaondoa uchovu wote baada ya kuyafanyaKusisimua damu ni kuamka alfajiri na uswali ndipo uanze mazoezi....
Kuyafanya yasichanganyike maziwa na asali chombo gani cha hitajika?Mazoezi yanaondoa uchovu wote baada ya kuyafanya
Namba gani unaulizia?Mbele kwa mbele huku tunaisoma namba
Unaulizia thamani ya ghorofa liloporomoka mwaka juzi.....Namba gani unaulizia?
Namba gani unaulizia?
Kujibika kwa kwa mitambo ya wakala wa simu ni automatic.....Unauliza maswali magumu kujibika.
Kujibika kwa kwa mitambo ya wakala wa simu ni automatic.....
Unanitukana matusi ni kuonyesha jinsi ulivyokuwa mkorofiAutomatic indio nini, unanitukana?
Mkorofi mke wa Waziri aliyekamatwa Na kurekodiwa na Trafiki.Unanitukana matusi ni kuonyesha jinsi ulivyokuwa mkorofi
Trafiki oooohhh na mke wa Waziri akaaa.. mie sipo napitaMkorofi mke wa Waziri aliyekamatwa Na kurekodiwa na Trafiki.
Trafiki oooohhh na mke wa Waziri akaaa.. mie sipo napita![]()