mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Chupi? Mkuu T1990 ELY please punguza makali ya lugha kuna wanetu huwa wanapita humu jamviniBakora za kipindi kile shule ya msingi nimechapwa sana kwa kuwawekea wasichana kioo wakiwa wamesimama wima.Yaani nilikuwa naona kila kitu cha ndani maana wengi wao walikuwa hawavaagi chupi.