Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Gari la kwanza kuingizwa nchini Tanganyika mwaka 1910 lilikuwa la gavana mScotlandi..!!Mbali kwa miguu ila si kwa gari
Gari la kwanza kuingizwa nchini Tanganyika mwaka 1910 lilikuwa la gavana mScotlandi..!!
(unajua hilo?)
Model hiyo ilitokea uengerza ndo zilikuwa za kwanza...Hilo gari gani ZZ maana 1910 ilikuwa Royal G model
Kwanza nikuulize, hilo gari au bajajiModel hiyo ilitokea uengerza ndo zilikuwa za kwanza...![]()
Model hiyo ilitokea uengerza ndo zilikuwa za kwanza...![]()
Bajaji ni jina la muhindi alieunganisha scooter/pikpiki na trailor.. ila hilo ndo gari la miaka ya 1910~1920 Mwanagu hamkuyaona magari ya zamani......Kwanza nikuulize, hilo gari au bajaji
Aina hizo za zamni zilidumu kwa muda wa miaka 10 tu !!Ndipo utaalamu wakuboresha body ukapaa !!Kwanza magari hayo Na sasa Ni magari ya kila aina
Bajaji ni jina la muhindi alieunganisha scooter/pikpiki na trailor.. ila hilo ndo gari la miaka ya 1910~1920 Mwanagu hamkuyaona magari ya zamani......
Pressure mwajitia wanyewe leo na zamani nyakati ni zilezile 24,jua kuchopoza mashariki na kuzama magharibi.....Zamani maisha yalikuwa matamu bila pressure
Pressure mwajitia wanyewe leo na zamani nyakati ni zilezile 24,jua kuchopoza mashariki na kuzama magharibi.....
Women wa nini ? Mgogo acha kuota !! utakaporudi umri utakuwa umeenda over yako yatakuwa macho 🙄Magharibi ndio nchi tunazozitaka kuzamia ili tukirudi tuwapate kina Blaki women.
Women wa nini ? Mgogo acha kuota !! utakaporudi umri utakuwa umeenda over yako yatakuwa macho 🙄
Mtumba wa Range niliyo import mwaka 2012 unadunda hadi leo........Macho Hayana pazia Na wala hayafungi mtumba.
Mtumba wa Range niliyo import mwaka 2012 unadunda hadi leo........
Yako mambo ntajibu, na yapo mambo sintojibu ! Kwa kuwa hapa nchini TZ mtu ukiwa na simu 2 tu unapakiziwa fisadi au ukivaa maidadi unashyumiwa Dw/za kulevya !! lakini ukivaa kaniki Ohh amewehuka/kichaa huyo!! ilimradi taifa hili ni la majanga na balaa.....Leo ukidunda Na range lazima utaulizwa kazi yako
Mtu ni utu na siyo kitu !!!!Balaa linatokea pale unapofumwa na mke wa mtu
Balaa linatokea pale unapofumwa na mke wa mtu