Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
Siku kama hii utakuwa wapi?Itakapowadia siku ambayo tunaisubiri kwa hamu kuona Tanzania kuwa nchi ambayo kila Mwananchi atakuwa anakunywa chai ya Maziwa mkate kwa mayai. Jee ni lini hiyo Siku?
Siku kama hii utakuwa wapi?Itakapowadia siku ambayo tunaisubiri kwa hamu kuona Tanzania kuwa nchi ambayo kila Mwananchi atakuwa anakunywa chai ya Maziwa mkate kwa mayai. Jee ni lini hiyo Siku?
Wapi ntakapokuwepo ni Swali zuri, nafikiri ntakuwa nishangulia mbele ya haki.Siku kama hii utakuwa wapi?
Ukomae hakuna haja waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe apiteHaki haipatikani kiurahisi rahisi lazima ukomae
Apite aelekee panapostahikiUkomae hakuna haja waswahili wanasema mwenye nguvu mposhe apite
Panapostahiki hakuna haja ya kupajua mwache aende zake kusikojulikanaApite aelekee panapostahiki
Kusikojulikana wanauzi huu wameelekeaPanapostahiki hakuna haja ya kupajua mwache aende zake kusikojulikana
Wameelekea kumuelewa aliyeanzisha huu uzi miaka minne iliyopitaKusikojulikana wanauzi huu wameelekea
Panapostahiki hakuna haja ya kupajua mwache aende zake kusikojulikana
Kunakojulikana vipi mgogoone wakati mnatafutwa wewe na ZZ hamjulikani mlipo?Kusikojulikana ndio huko niliko Mtebetini ila nataka kwenda kunakojulikana.
Mlipo elekea hapajulikani manake tumewangojea kitamboKunakojulikana vipi mgogoone wakati mnatafutwa wewe na ZZ hamjulikani mlipo?
Kitambo mpaka majamvi yamekung'utwaMlipo elekea hapajulikani manake tumewangojea kitambo
Yamekung'utwa ?wakati mimi nimeyatandaza upya?Kitambo mpaka majamvi yamekung'utwa
Upya! mbona siyaoni naona maturubaiYamekung'utwa ?wakati mimi nimeyatandaza upya?
Maturubai nilishayatoa ndio nikatandika jamviUpya! mbona siyaoni naona maturubai
Jamvi hakuna Mkuu Mainus kuna maturubai ya mahema mbona unaleta ubishi?Maturubai nilishayatoa ndio nikatandika jamvi
Jamvi hakuna Mkuu Mainus kuna maturubai ya mahema mbona unaleta ubishi?
Chini ki aje mbona husomekiUbishi gani tena? Mtebetini Na Mainus Mimi nimewasili naona maturubai juu Na majavi chini