Kukaa pekee yako na kuwazaa itakupeleka kwenye boma la shetwani....Pembezoni mwa barabara ya magari yaendayo kasi si salama kukaa
Shetwani kumlani ndiyo njia sahihi ya kumuepukaKukaa pekee yako na kuwazaa itakupeleka kwenye boma la shetwani....
Kumuepuka kibaka wa mtaani ni kuitaarifu serikali za mitaaShetwani kumlani ndiyo njia sahihi ya kumuepuka
Mitaa ya sinza haina majinaKumuepuka kibaka wa mtaani ni kuitaarifu serikali za mitaa
Majina yanajitambulisha kwa matendo yake.., Ukiitwa tabu utakuwa na tabu, ukiitwa furaha utakuwa na furaha !!Mitaa ya sinza haina majina
Maajina ya jamii forum ni vichekeshoMitaa ya sinza haina majina
Maajina ya jamii forum ni vichekesho
Mvuto utaupata kwenye churaVichekesho vya sku hizi kwenye tv havina mvuto
Chura kagaragazwaMvuto utaupata kwenye chura
Chura kafungiwa!, nitapatje huo mvuto?Mvuto utaupata kwenye chura
Mvuto wa Snura Na Sholele upi unazidi?Chura kafungiwa!, nitapatje huo mvuto?
Mvuto wa Snura Na Sholele upi unazidi?
Motope au tope ni neno ambalo wapwani wengi hutafsiri vibaya, mfano msemo huu " Raha ya Nanga baharini, mtoni itatoka Na tope", ovaUnazidi wewe mpita njia maana hapa hakuna Mshindi mpaka vyura vyote virudi kwenye Matope.
Motope au tope ni neno ambalo wapwani wengi hutafsiri vibaya, mfano msemo huu " Raha ya Nanga baharini, mtoni itatoka Na tope", ova
Pwani kuna mambo, huku ukija umeshiba unaondoka haujala, ukija na viatu unaondoka na ndala, ukija na gari unaondoka Na dala dala Na ukija mchungu unaondoka chotara.Ova duh mpita njia hapo kidogo nianze kumung'unya maneno huo msemo kweli wa kipwani.
Chotara jadi yake ni Shotra "waarabu waliwaita watoto wa mama mzawa" Hilo mulijuwe....Pwani kuna mambo, huku ukija umeshiba unaondoka haujala, ukija na viatu unaondoka na ndala, ukija na gari unaondoka Na dala dala Na ukija mchungu unaondoka chotara.
Tushalijua kitambo, wao walizalisha bibi zetu, ila hawataki tuzalishe binti zao.Chotara jadi yake ni Shotra "waarabu waliwaita watoto wa mama mzawa" Hilo mulijuwe....
Zao ni zao na zetu ni zetu !! unasaba utaunganishwa ridhaa itakapowadia......Tushalijua kitambo, wao walizalisha bibi zetu, ila hawataki tuzalishe binti zao.
Itakapowadia siku ambayo tunaisubiri kwa hamu kuona Tanzania kuwa nchi ambayo kila Mwananchi atakuwa anakunywa chai ya Maziwa mkate kwa mayai. Jee ni lini hiyo Siku?Zao ni zao na zetu ni zetu !! unasaba utaunganishwa ridhaa itakapowadia......