Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kutoka nje ya uwanja wa ndege utavutwa shati na madereva wa TAXI......Kuingia polisi Ni bure ila kutoka, ...!.
Kutoka nje ya uwanja wa ndege utavutwa shati na madereva wa TAXI......Kuingia polisi Ni bure ila kutoka, ...!.
TAXI BUBU Ni wimbo uliompa heshima mwanamuziki wa bongo flavour"Matonya".Kutoka nje ya uwanja wa ndege utavutwa shati na madereva wa TAXI......
Matonya Omba Omba maarufu katikati ya Jiji ya Dar es Salaam miaka ya 1990/2000. Alikuwa Na style ya kulala chali huku kainua mkono mmoja juu kushulikia kopo.TAXI BUBU Ni wimbo uliompa heshima mwanamuziki wa bongo flavour"Matonya".
Maua Chenkula ni mwanamuziki ya nyimbo za asili Tanzania, kati ya nyimbo zake maarufu ni Engozi na AkatambalaKopo lina matumizi mengi:- kuogea, kuswaki, Na hata kupandia maua
Maua Chenkula ni mwanamuziki ya nyimbo za asili Tanzania, kati ya nyimbo zake maarufu ni Engozi na Akatambala
Kuonekana au muonekano ndio tatizo kubwa kwa wasanii wetu, wanapenda waonekane wana magari mazuri Ila hawana pa kulala.Akatambaa chini kwa chini hadi akatoroka jela bila kuonekana.....
Kuonekana au muonekano ndio tatizo kubwa kwa wasanii wetu, wanapenda waonekane wana magari mazuri Ila hawana pa kulala.
Kawaida sana kwa A-town kuwa na baridiPa kulala ni lazima kupewe kipaumbele ktk maisha yetu iwe msanii au raia wa kawaida....
Baridi ya usiku au ya mchana hutoweza kuhimili kipwepwe kama hujala vizuri......Kawaida sana kwa A-town kuwa na baridi
Vizuri sana kama utafanya mazoezi piaBaridi ya usiku au ya mchana hutoweza kuhimili kipwepwe kama hujala vizuri......
Vizuri kuishi kwenye kipupwe kuliko joto. Maana hata kama mifuko imetoboka husikii maumivu sana kama ukiwa unachomwa Na jua.Baridi ya usiku au ya mchana hutoweza kuhimili kipwepwe kama hujala vizuri......
Pia ni rupia hupenyezwa penye udhia......Vizuri sana kama utafanya mazoezi pia
Jua la jangwani linachoma utosini wabongo hautwezi kuvumilia....Vizuri kuishi kwenye kipupwe kuliko joto. Maana hata kama mifuko imetoboka husikii maumivu sana kama ukiwa unachomwa Na jua.
Duuh umechoka bora ukalaleduuh
Vumilia Mwasha moja kati ya watangazaji ya ITV, kituo Ambazo kimedumu zaidi ya miaka 22. Lakini bado kinategemewa zaidi kwa habari za ndani Na nje ya nchi. Je Ndugu Mengi apewe tuzo ya heshima kwa kuweza kufanya chombo kuwa Imara namna hiyo?Jua la jangwani linachoma utosini wabongo hautwezi kuvumilia....
mawazo mengi yanakondeshalock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Hiyo ITV na Mkuu wake Mhe. R. Mengi anastahili tuzo na utambulisho ktk historia ya dola....Vumilia Mwasha moja kati ya watangazaji ya ITV, kituo Ambazo kimedumu zaidi ya miaka 22. Lakini bado kinategemewa zaidi kwa habari za ndani Na nje ya nchi. Je Ndugu Mengi apewe tuzo ya heshima kwa kuweza kufanya chombo kuwa Imara namna hiyo?