Mainus
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 295
- 238
Bye bye. nafikiri hatorudiMbaya ya yote pale mgeni ukishamkirimu aondoke bila kuaga..bye bye !!
Bye bye. nafikiri hatorudiMbaya ya yote pale mgeni ukishamkirimu aondoke bila kuaga..bye bye !!
Hatorudi hatorudi ni nyimbo iliyo shinda oscar award mwaka 2008....Bye bye. nafikiri hatorudi
Sitausahau ubaya wa bosi wangu aliyonifanyia kazini....2008 ni mwaka ambao sitausahau
Kazini kuna utumwa wake kila anachotaka mkuu wa kazi hunabudi kuti amriSitausahau ubaya wa bosi wangu aliyonifanyia kazini....
Amri ni moja lakini isiwe uonevu au unyanyapaa.....!!!Kazini kuna utumwa wake kila anachotaka mkuu wa kazi hunabudi kuti amri
Unyanyapaa utakuwepo kwa kuwa hakuna unyaparaAmri ni moja lakini isiwe uonevu au unyanyapaa.....!!!
Unyapara wa kazini haunogi kwa sababu wote mnalipwa, mtamu Ni ule unyapara wa mung'anda!.Unyanyapaa utakuwepo kwa kuwa hakuna unyapara
Unyapara enzi za Mkoloni ulikuwa unalipa vizuri na kusimamiwaUnyanyapaa utakuwepo kwa kuwa hakuna unyapara
Unyapara enzi za Mkoloni ulikuwa unalipa vizuri na kusimamiwa
Sipendi kuendeshwa kazini Lakini kila kazi ina misingi ya kulazimishana.....Kusimamiwa kazini sipendi
Sipendi kuendeshwa kazini Lakini kila kazi ina misingi ya kulazimishana.....
Vizuri vyote wamejaaliwa wananchi wa Scandanavia nchi zao zina mipango......Kulazimishana baadhi ya mambo si vizuri
Vizuri kinyume chake vibaya kama hakuna usimamizi itakuwa kinyume chake hakuna uwajibikajiKulazimishana baadhi ya mambo si vizuri
Uwajibikaji huwa unafundishwa mapema mashuleni ili vijana waweze kuzoea !!Vizuri kinyume chake vibaya kama hakuna usimamizi itakuwa kinyume chake hakuna uwajibikaji
Kuzoea hakufundishiki sababu maumbile ya kibinadamu ni hakukamilika 100%Uwajibikaji huwa unafundishwa mapema mashuleni ili vijana waweze kuzoea !!
100% ya maji ya bahari hindi ni chumvi.......Kuzoea hakufundishiki sababu maumbile ya kibinadamu ni hakukamilika 100%
Chumvi maarufu kwa jina la dawa ya jikoni100% ya maji ya bahari hindi ni chumvi.......
Jikoni ndiyo sehemu pekee baba mwenye familia haruhusiwi kuingia......Chumvi maarufu kwa jina la dawa ya jikoni
Kuingia polisi Ni bure ila kutoka, ...!.Jikoni ndiyo sehemu pekee baba mwenye familia haruhusiwi kuingia......