Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
mawazo yangu ni kwamba magu afunge huu mjadala.
Tabora ushaambiwa hali ni mbaya kwa vijana hawana ajira, unajitafutia matatizoNaondoka jioni hii na treni kuelekea Tabora......
Mjadala hauwezi kufungwamawazo yangu ni kwamba magu afunge huu mjadala.
Tabora ndio nyumban yuko bibi na babuNaondoka jioni hii na treni kuelekea Tabora......
Sana sana umeishia tabora tu, hujatembea nchini...Tabora ni kwetu karibu sana
Babu ni kiongozi mkongwe aliyeishi miaka dahalTabora ndio nyumban yuko bibi na babu
Mjadala huu ni elimu ya sisi wapita njia, Mhe. JPMagu awafunge walanguzi wa sukari....mawazo yangu ni kwamba magu afunge huu mjadala.
Dahali kiswahili faswaha siye twaita dahar yote sawiya tunaelewana....Babu ni kiongozi mkongwe aliyeishi miaka dahal
Tunaelewana kwa sababu ya umahiri wako katika kuandika lugha ya kiswahiliDahali kiswahili faswaha siye twaita dahar yote sawiya tunaelewana....
Kiswahili kimetukuka na kutambulika kimataifa hadi baraza kuu la UN !!!Tunaelewana kwa sababu ya umahiri wako katika kuandika lugha ya kiswahili
UN ni jina jipya hapo mwanzo iliitwa UNOKiswahili kimetukuka na kutambulika kimataifa hadi baraza kuu la UN !!!
UNO !! zuzi karibu sana ulipotea na kutuacha....UN ni jina jipya hapo mwanzo iliitwa UNO
Kutuacha atatuacha lakini hatatukuta alipotuachaUNO !! zuzi karibu sana ulipotea na kutuacha....
Alipotuacha khaswa tutakuwa tumeshapiga tambo......Kutuacha atatuacha lakini hatatukuta alipotuacha
Tambo zangu kubwa sana nikiwa natembea uchiAlipotuacha khaswa tutakuwa tumeshapiga tambo......
P ni kifupi cha neno "PAPUCHI"Hapo mimi simo....😛
Kiswahili ni lugha nzuriTunaelewana kwa sababu ya umahiri wako katika kuandika lugha ya kiswahili
Nzuri haiwi nzuri hadi kuwe na mbayaKiswahili ni lugha nzuri
Mbaya ya yote pale mgeni ukishamkirimu aondoke bila kuaga..bye bye !!Nzuri haiwi nzuri hadi kuwe na mbaya