mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Huo ujasiri nikutenda jambo ambalo binadamu wanahofia kulitenda kama kupiga tofali la udongo wa simenti kwa kichwa.Mfano wa jasiri ni upi huo?
Huo ujasiri nikutenda jambo ambalo binadamu wanahofia kulitenda kama kupiga tofali la udongo wa simenti kwa kichwa.Mfano wa jasiri ni upi huo?
Kichwa ndio serikali ya maaumizi ya binadamuHuo ujasiri nikutenda jambo ambalo binadamu wanahofia kulitenda kama kupiga tofali la udongo wa simenti kwa kichwa.
Historiya hiyo ni dhaifa na ya kutunga kama una dalili madhubuti tumwagie.....Binadamu wa kwanza alikuwa nyani Acc.. History
Alphaking
Tumwagie tafiti zote zinazothibitisha Binadamu alikuwa nyaniHistoriya hiyo ni dhaifa na ya kutunga kama una dalili madhubuti tumwagie.....
Nyani ni mnyama kama wanyama wengine, na binaadamu ni mbora wa viumbe vyote.....Tumwagie tafiti zote zinazothibitisha Binadamu alikuwa nyani
Vyote ni bora ila mwanadamu anautashi zaid ya wanyama wengineNyani ni mnyama kama wanyama wengine, na binaadamu ni mbora wa viumbe vyote.....
Wengine wapo katika foleni mapema.....Vyote ni bora ila mwanadamu anautashi zaid ya wanyama wengine
Mapema ya alfajiri ndiyo mwanzo wa siku.....Mapema ni vizuri zaidi kwakuwa ngedele pia hufika shambani mapema.
Siku ya leo kuna baridi sana A-townMapema ya alfajiri ndiyo mwanzo wa siku.....
A-town inakupasa kuvaa sweater na jaketi uweze kupata vuguvugu....Siku ya leo kuna baridi sana A-town
Vuguvugu limeshindikana kabisa pamoja na kuvaa sweater na soksiA-town inakupasa kuvaa sweater na jaketi uweze kupata vuguvugu....
Soksi za pamba ni bora kuliko za nyloni health tips......Vuguvugu limeshindikana kabisa pamoja na kuvaa sweater na soksi
Tips za afya ni muhimuSoksi za pamba ni bora kuliko za nyloni health tips......
Muhimu kuzifuata kwa kuwa yanastawisha mfumo wa mwili kuwa bora....Tips za afya ni muhimu
Bora hata naondokaMuhimu kuzifuata kwa kuwa yanastawisha mfumo wa mwili kuwa bora....
Naondoka jioni hii na treni kuelekea Tabora......Bora hata naondoka
Tabora ni kwetu karibu sanaNaondoka jioni hii na treni kuelekea Tabora......