amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Personality ya ukweli. Asante sanaaaaSijambo, mimi iko penda sana your dressing personalities!!
Personality ya ukweli. Asante sanaaaaSijambo, mimi iko penda sana your dressing personalities!!
You deserve anything good a woman can wish to have!Personality ya ukweli. Asante sanaaaa
Mshindi hupatikana kwa juhudi zakeMungu ni mwema kuwa ipo siku wa mwisho ndiyo atakuwa mshindi.
Zake juhudi mpaka zifike kikomoMshindi hupatikana kwa juhudi zake
Chaji ya simu yako ikiisha wengine wataendelea na mchezo.
Hasira huleta hasaraMchezo huu kama wa Dar Young Africans hauhitaji hasira
Hasara kwa Taifa hasa katika biashara ya sukariHasira huleta hasara
Sukari ya Zachariah ndo habari ya mjiniHasara kwa Taifa hasa katika biashara ya sukari
Mjini shule ukiwa unaishi mjini unajifunza mambo lukukiSukari ya Zachariah ndo habari ya mjini
Mjini kunahitaji mipangoSukari ya Zachariah ndo habari ya mjini
Mipango ukipanga hovyo mjini kutakushindaMjini kunahitaji mipango
Kutakushinda sana mpaka utachekwaMipango ukipanga hovyo mjini kutakushinda
Utachekwa Na walewale waliokua wanakushangiliaKutakushinda sana mpaka utachekwa
Wanakushangilia kama wameshindaUtachekwa Na walewale waliokua wanakushangilia
Wameshinda wote waliochangia uzi huuWanakushangilia kama wameshinda
Wanakushangilia kwasababu walitamani saana ushuke kimaishaUtachekwa Na walewale waliokua wanakushangilia
Kimaisha hakuna kuchekena maisha ni safari ina mikiki mikiki isiyokuwa na mfanoWanakushangilia kwasababu walitamani saana ushuke kimaisha