The Headmost
Senior Member
- Aug 28, 2011
- 127
- 61
Mungu ni mwema kuwa ipo siku wa mwisho ndiyo atakuwa mshindi.
Mshindi hatokuwa na hadhi kama ya kuwa Bingwa....Mungu ni mwema kuwa ipo siku wa mwisho ndiyo atakuwa mshindi.
Bingwa labda wa kandandaMshindi hatokuwa na hadhi kama ya kuwa Bingwa....
Kandanda illikuwa enzi ya kadenge na Sunday.....Bingwa labda wa kandanda
Sunday Manara a.k.a computer?Kandanda illikuwa enzi ya kadenge na Sunday.....
Computer ndiyo nini? Andika kiswahiliSunday Manara a.k.a computer?
Kiswahili bahari kama upo kisiwani nyosha mkono tukuvute......!!Computer ndiyo nini? Andika kiswahili
Tukuvute wapi asiyejuwa maana hambiwi maanaKiswahili bahari kama upo kisiwani nyosha mkono tukuvute......!!
Maana wengi hawapendi kuuliza wao hukurupuka(debyank) uje tukufunze.....Tukuvute wapi asiyejuwa maana hambiwi maana
Jandoni ni mila zilizopitwa na wakati ila hadhi zake zimehifadhiwa....Tukufunze na afundwe kama mwali wa jandoni
Zimehifadhiwa kwa sababu zina thamaniJandoni ni mila zilizopitwa na wakati ila hadhi zake zimehifadhiwa....
Thamani yake hutoitambua hadi ikupotee....Zimehifadhiwa kwa sababu zina thamani
Ikupotee kwasababu haina umuhimuThamani yake hutoitambua hadi ikupotee....
Umuhimu WA kutumia lugha ya TaifaIkupotee kwasababu haina umuhimu
Taifa letu lugha yake imetufanya kuwa na umojaUmuhimu WA kutumia lugha ya Taifa
Umoja ni ushindiTaifa letu lugha yake imetufanya kuwa na umoja
Shikamoo dada anguUmoja ni ushindi
Angu, marhabaaaa.. HujamboShikamoo dada angu
Sijambo, mimi iko penda sana your dressing personalities!!Angu, marhabaaaa.. Hujambo